DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ni hatari sana, tutakuwa taifa la ajabu sana
Maisha yamekuwa magumu siku hizi kila mtu anajiongeza pale alipo, kwenye maduka ya dawa wauzaji wanaongeza cha juu, huko hospitalini nako wanaangalia madawa ya bei mbaya ndio wanakusukumizia ugonjwa wake, ilimradi pesa itoke tu.
 
Imebidi nitafute mahali nisome ili nije kujibu...👇👇

How do you get infected by Helicobacter pylori?
You can get H. pylori from food, water, or utensils. It's more common in countries or communities that lack clean water or good sewage systems. You can also pick up the bacteria through contact with the saliva or other body fluids of infected people.7 Dec 2020

View attachment 2332304
WebMD - Better information. Better health. › h-pylori...

H. pylori Bacteria Infection: Symptoms, Diagnosis, Treatment, Prevention

Helicobacter pylori (see the image below) is a ubiquitous organism that is present in about 50% of the global population. Chronic infection with H pylori causes atrophic and even metaplastic changes in the stomach, and it has a known association with peptic ulcer disease. [1] The most common route of H pylori infection is either oral-to-oral or fecal-to-oral contact. [2]

Ukiwa Dar hao H. pylori bacteria ni rahisi kuwa nao tumboni kutokana na mazingira na mifumo ya maisha yetu (soma sources hapo juu)! Si lazima uugue ndo uwe nao.
Hivyo ukienda kutibiwa nenda ukijua hilo tatizo lipo na linaambukizwa!

Changamoto genuine ambayo umeleta hapa mezani ni utekelezaji wa NHIF.
Ni mfuko unapigwa sana na wajanja.
sawa sawa
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Aisee pengine tunaweza tofautiana. Mimi mtoto wangu wa darasa la 4 alikuwa analalamika sana tumbo kwa wiki atalalamika hata mara 3. Nilienda na wife kairuki na kukutwa na hiyo Pyroli. Baada ya kutumia madawa yao ambayo ni mengi kwa kweli, sijasikia mtoto akilalamika tumbo, mwezi kariba wa 4 huu. Huu ni ushuhuda wangu.
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Ndo nmetoka aga khan ya mwanza hapa nmepima hicho kipmo wamenambia nna mdudu anaesababisha vidonda vya tumbo...sasa kama ni utapel wanafanya kwa kwel wanatukosea
 
Kwenye hili suala la Bima ya Afya serikali ije na mfumo ambao mgonjwa akishapata matibabu hasa hawa wagonjwa wa OPD zile sms zinazotumwa kwenye simu zioneshe na mchanganuo/ gharama ya matibabu ya ugonjwa husika, hizi hospitali binafsi wamekuwa wagumu sana kujaza gharama kwenye zile sheet
 
Kumbe ni mchezo, nilienda Decca pollyclinic Dodoma hivyo kwa kutumia bima nilikuwa na ugonjwa wa ngozi, nikafanya vipimo hakukuwa na ugonjwa wowote baada ya kurudi kwa daktari (Mathew) akaniambia nikapamie choo majibu yalivyotoka akaniambia nina mdudu anaitwa H. Pylory ambayo ni aina ya minyoo, ndio inanisabishia hiyo hali ya kuwashwa nikapewa box la dawa kumeza siku 60, nikamuuliiza daktari kama unaruhusiwa kutumia pombe wakati wa dozi akaniambia hapana, nikamuuliza kama kuna sindano akasema tiba yake ni hii dawa niliyoandikiwa, ikanibidi niondoke nikameza siku moja hadi tatu uzalendo ukanishinda nikaendea Kumwagilia moyo ingawa nikaenda tena Rabininsia hospital Tegeta Dar es salaam kumuona daktari wa ngozi katika kumuelezea na matibabu niliyopatiwA huko nyuma akanimbia hiyo si H. PYLORY kama ulivyoambiwa achana na dozi hiyo hii ulinayo ni Pumu ya ngozi, na katika historia yangu kweli nilishwahi kuugua pumu huko utotoni nikapewa dawa ya kupaka kutuliza hali maisha yanaendelea na moyo namwagilia kama kaiwaida.
Huyo jamaa Jana baada ya kumwambia nmetest h pylori + akanambia nitume 250000+10000 ya kutolea ..hapo nikajua huyo Mathew ni mchumia tumbo tu hakuna doctor hapo
 
Wezi, ndio maana Angela ananenepa, kumbe hiki ndio chanzo
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Hii hali imewahi nitokea kwenye hospitali moja Ruvuma, bahati mbaya sikupata mawazo kama yako ya kwenda kuhakiki kwenye hospitali nyingine, mbaya zaidi sikuwa nimebeba kadi ya bima kwa hiyo ikawa ni mwendo wa cash.
Mfuko wa bima ndo maana unaelemewa maaana kuna ujanja mwingi sana kwenye mahospitali.
 
Sio Hospital hiyo pekee !
 
Kampuni za bima zinapigwa Sana aisee . Majuzi nilimsindikiza mtu hospital moja tu ya hadhi tu hapa dar ..yaani alipimwa vipimo hata ambavyo havihusiani na jumla ya vipimo vyote ni zaidi ya 2 mill halafu hajakutwa na kitu ...yaan inshort kipimo Cha fully blood picture tu kilitosha kugundua tatizo alilonalo...Na hapo ni vipimo, Bado gharama zingine Kama around 1 mill..At the end tukagundua ni janja ya hospital kuforce vipimo vya Bei na huduma ghali ili kuvuna pesa kutoka makampuni ya bima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pesa zetu zinapigwa ambazo ndio zinazoziendesha hizo Kampuni za Bima !
 
Hii ni hatari sana, tutakuwa taifa la ajabu sana
Wale Wakubwa walioanzisha tabia ya kupiga pesa ili watajirike ndio wameleta hii balaa Nchini !
Hapo zamani Enzi za Nyerere watu hawakuwa hivi !
Wazee wenzangu nawauliza je ni kweli au nasema uongo ndugu zanguni ???!
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Kuna wimbi la maabala nyingi zinazosimamiwa na vijana kugundua wadudu hao tu. Hasa private hospitals.

Binti yangu wa miaka 8 nilimpeleka hospital moja pamoja na mimi tukiwa na matatizo ya tumbo wote tulikutwa na huyo mdudu. Ikanitoka kama 200K. Lakini tulipoenda hospital ya Rufaa ya serikali ghalama zilikuwa chini sana. Baadae ikagundilika ana tatizo la hernia ya kitovu akafanyiwa Op na tatizo la maumivu ya tumbo likawa limeisha.

Hao watu wanamezesha watoto midawa ya ajabu sana.
 
Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.
Sijakuelewa vizuri hapa mkuu, hii "bochi na kairuki" ni nini hasa; hizi nazo ni hospitali nyingine au vipi.

Hayo unayo eleza hapo kuhusu kinacho fanyika kwenye hivyo vipimo, kama ni kweli, huo ndio utapeli wenyewe unao fanywa na kuivuruga hiyo Bima ya Afya. Hayo ni makosa ya jinai haswa wakigundulika kuyafanya.

Kama hiyo "bochi" ni hospitali nyingine uliko peleka vipimo ili kuhakikisha usahihi wa majibu uliyo pewa huko Kariuki, ni njia nzuri; ila bila shaka inakuongezea gharama.

Mimi ninge pendekeza uwaone viongozi wa hospitali hiyo uwaeleze kuwa kuna tatizo hilo. Wakipuuza, wajue wanajiweka kwenye matatizo na wanaweza kushitakiwa mahakamani kwa kufanya kazi 'unethically' namna hiyo, mbali na kuvunja sheria.
 
Kuna wimbi la maabala nyingi zinazosimamiwa na vijana kugundua wadudu hao tu. Hasa private hospitals.

Binti yangu wa miaka 8 nilimpeleka hospital moja pamoja na mimi tukiwa na matatizo ya tumbo wote tulikutwa na huyo mdudu. Ikanitoka kama 200K. Lakini tulipoenda hospital ya Rufaa ya serikali ghalama zilikuwa chini sana. Baadae ikagundilika ana tatizo la hernia ya kitovu akafanyiwa Op na tatizo la maumivu ya tumbo likawa limeisha.

Hao watu wanamezesha watoto midawa ya ajabu sana.
Huo ni uvunjifu mkubwa sana wa maadili ya kazi za hao watu, na ni uvunjifu wa sheria.
Wanajiweka kwenye hatari ya kushitakiwa hawa.
 
Hii hali imewahi nitokea kwenye hospitali moja Ruvuma, bahati mbaya sikupata mawazo kama yako ya kwenda kuhakiki kwenye hospitali nyingine, mbaya zaidi sikuwa nimebeba kadi ya bima kwa hiyo ikawa ni mwendo wa cash.
Mfuko wa bima ndo maana unaelemewa maaana kuna ujanja mwingi sana kwenye mahospitali.
Nadhani kama tungeweza wote kwa umoja wetu kubadilisha neno ujanja kulitumia na badala yake tukasema kuna Uwizi mwingi sana !
Neno Ujanja ni sifa ya mtu kuwa mwerevu sana ! Ambayo ni sifa nzuri !
 
Dawa za H .pylori ni kali sana na unatumia kwa siku 30.
Sasa kama wanakupachika ugonjwa wa uongo ni hatari sana kwa figo
 
Back
Top Bottom