HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity.
​
Hiyo ni katika mchakato wa kwenda kufanyiwa vipimo, maana yake hakuna flow kutoka Emergency kuelekea kwenye hivyo vitengo nilivyoandika hapo juu.

Inatumika nguvu kubwa sana kuendesha zile wheelchair na stretcher zilizobeba wagonjwa. Majengo hayo mapya yalianza kufanya kazi Juni Mwaka 2025.

​

Pia soma ~ Dkt. Andrew: Tumetengewa Tsh. 800M ya kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manispaa ya Singida






UFAFANUZI ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…