Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
- Thread starter
-
- #21
Atafanywaje akipelekwaMpeleke ndugu yako alafu uje na hiyo mada
Kvp mzeeLango la kuzimu.
Kwa nn mzeeNa hii Ibadilishwe jina iitwe Samia express hospital
Sasa ulikuwa unaandika nini kama ufahamu hapoAtafanywaje akipelekwa
Nakuuliza ww unaemjua zaid ya wenye experienceSasa ulikuwa unaandika nini kama ufahamu hapo
Sasa ulikuwa unaandika nini kama ufahamu hapo
Ujana unakusumbua sana weka namba za simu watakufikilia kwenye teuzi ccm wapo wengi hapaNakuuliza ww unaemjua zaid ya wenye experience
Kama una experience yako you just share
Wagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.Ndio inaongoza Kwa kulalamikiwa
ChoiceVariable unaonekana hujawahi kufika Mloganzila, unaropoka tu Kama chawa wengine.Huduma mbovu ,watu wanakufa sana kisa eti wanatibiwa na wanagunzi
Sina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.ChoiceVariable unaonekana hujawahi kufika Mloganzila, unaropoka tu Kama chawa wengine.
Mloganzila is a world class hospital.
Hata Aga Khan wakasome.
Benjamin Mkapa Dodoma ni ya kifundishia? Kuna Chuo au kozi ya matibabau pale?Naomba mfano wa teaching hospital na ambayo sio maalum kwa kufundishia
Na mloganzila iko upande
Mbona wengi wanaopelekwa hapo huwa hawatoboi? Unalizungumziaje hilo ndugu msemaji?Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting.
Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma.
Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania
View attachment 3050574
Wanatuharibia dada zetu siku hizi wadada karibu wote shape zao zinafanana.Kulalamikiwa kwa lipi
Alafu mbaya zaidi,,huyo anaebisha hajawahi na hana Experience yoyote kuhusu swala husika Zaidi ya kuokota stori kwenye vijiwe nongwa vyao.Utashaangaa watu wanabishana na ww mwenye experience
Mm niteuliwe tena ninalima zangu viazi Sina shida na teuziUjana unakusumbua sana weka namba za simu watakufikilia kwenye teuzi ccm wapo wengi hapa
Nina furaha watu wana uelewa mkubwa kwenye hiliWagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.
Mloga ni moja ya hispitali bora kabisa kuanzia design yake, space, facilities nk.
Wanasema na ww unaamini ila wakisema huduma n nzuri huamini na unajua uongo ndo huenea zaid ya ukweli nahis umeshaelewaSina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.
World class hospital ni Huduma.Hiyo ndio hospital inaongoza kulalamikiwa hapa Tanzania na wanasema Ukiwa admitted hapo uko half dead.
Wanaosoma UDOM, St Francis, St John's wanafanya wap practice?Benjamin Mkapa Dodoma ni ya kifundishia? Kuna Chuo au kozi ya matibabau pale?
Sana sana wanakuja field tuu za wale ma interns ndio maana Haina cases za hovyo kama hizo za Mlonganzila
Binafsi nimekua admitted pale x 2. Huduma niliyoipata Ni nzuri Sana, kila asubuhi saa tatu mpaka sita Kuna jopo la madaktari wasiopungua watano wanaokuja kunihudumia ikiwa Ni pamoja na mbobezi 1, Prof 1. Resident wa ward, intern 1 na labda mwanafunzi mmoja.Sina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.
World class hospital ni Huduma.Hiyo ndio hospital inaongoza kulalamikiwa hapa Tanzania na wanasema Ukiwa admitted hapo uko half dead.
Jibu limeshatolewa pitia CV commentsMbona wengi wanaopelekwa hapo huwa hawatoboi? Unalizungumziaje hilo ndugu msemaji?