Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hongera,ulikuwa na hela au someone who knows you.
 
Mbona wengi wanaopelekwa hapo huwa hawatoboi? Unalizungumziaje hilo ndugu msemaji?
nilipeleka mgonjwa Ijumaa, wanafunzi wa intern ndiyo walikuwa wanampa huduma ya kwanza
kuwauliza doctor(ambaye si mwanafunzi) yuko wapi wakajibu atakuja JumaNne
Jumamosi jioni mgonjwa anafariki

hakuna matibabu pale, kinachotolewa na wale interns ni huduma ya kwanza tu
 
Wanaosoma UDOM, St Francis, St John's wanafanya wap practice?
Bado wa diploma za nursing na Co unahisi wanafanya wap practice?
Udom na St John's hakuna kozi ya medicine wewe,pia St.Francis Wana hospital Yao huko huko Ifakara.

Pia nimesema tofautisha interns wanaopangwa huko na teaching hospital ni vitu viwili tofauti.
 
Una sifia kitu gani au na wewe ni chawa?kwa nini viongozi wakipata maradhi wana kimbilia inje ya inchi na wengine wanaenda inchi jirani ya Kenya, kama kweli kuna ubora huo. Tupunguze uchawa safari bado ni ndefu sana.
 
Mimi hospital yangu ni kcmc tu basi hizo zingine mnajuwa wenyewe. Kcmc Wana kubembeleza wanakupetipeti Hadi unatamani uongezwe siku za kulazwa😌😌

Bugando Hadi Dr aje kukuona asee umepamban mnoo wengi Huwa wanakimbia tu

×ray kupewa majibu unaweza sota wiki sio ajabu

Sasa Hivi hata kama na umwa UTI tu huyoo kcmc
 
Acha uongo bna nan alikuambia intern anafanya kazi bila supervisor unalazimisha kueleweka tu hamna lolote
 
Si mnasema pale ni wanafunzi ndo maana wagonjwa wanafariki? Sasa kama hawajui kutibu hata ukiwapa pesa wataweza?
Unalazimisha tu kulalamika
Utarudi ukiwa Maiti maana mpaka Maiti wanataka wazifanyie majaribio zinaonekanaje
 
Alipangiwa Wapi VIP room? Maana unaweza ukawa unasemasema tu wenzio wanaosota kwenye Meli ya Kijeshi ya waChina kule hawajui Mloganzila ilipo?
 
ilichafuliwa sana hasa kipindi kile cha COVID

JESUS IS LORD&SAVIOR
Kwamba ukienda pale Kifo Mkononi, Mimi sio Mloganzila tu hospital yoyote nikienda nikiona Dokta na Manesi hawanipetipeti najua hapa Muda wowote nakufa Hawa wataishia kuniangalia tu hivi mwisho wanifunike lile shuka la blue au Jeupe
 
Sjafika hospital ya serikali Kwa Zaid ya miaka 20 .

Natibiwa Agha khan Zaid.

Hawa jamaa ni Bora sana
 
Hata hivyo si imejengwa hivi karibuni? itashangaza kama itakosa sifa hizo ulizozitaja.


Jesus is Lord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…