PostGE2025 Hospitali ya Mount Meru yakanusha kuhusu video ya mochwari. Wasema ni ya kutengenezwa…

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukisikia ujuha ndio huu sasa, yani watu zaidi ya 5000 umeua,alafu unataka tuamini unachokitaka wewe!

Kwani hatujui ndugu zetu wamekufa na mmewazika kupoteza ushahidi?
Hawapo,hawakurudi baada ya maelekezo yenu ya kuwaua kutolewa, hii laana ndo inaenda kuleta Tz mpya!
 
Hii nchi haifai kukombolewa, inabidi hii ardhi itumeze wote, waje watu wengine.. tumeoza, imagine mtu anakana ukweli hadharani,hawaogopi hata Mungu, ili iweje? Kutunza uhai? Hata huo uhai mnaoutunza utaondoka tu.

Pumbaff
 
Kumbe kuna Ma Dr ni mapumbavu? Sasa miaka zaidi ya 6 huko chuoni wanafundishwa nn?
Ujinga au? Shame
 
Cha ajabu AI nae ukimuuliza anabisha😄😄😄.
Sasa mkweli nani?
Wa ukweli ni watanzania waliouawa ndugu zao, kila mahali kuna kilio, kuna maiti nyingi mahospitalini. Kila mtu nayemfahamu amepoteza mtu kwenye familia. Samia ameamua kuua watanganyika wasio na makosa.
 
Aliyekanusha nani? Hospitali haina mdomo, kakanusha mtu mwenye maslahi yake na ccm.
 
Your browser is not able to display this video.

Video hii hapa asee afu aliefanya hivi anaendelea kupumua yupo hai na anafanya teuzi asee ilitakiwa tumble nyama , na jeshi yamekaa kimya kama mpambavu tu tena ni mangese tu
 
Bahati mbaya sana kuna 'software' za kutambua kama hiyo video ni ya kweli au ya kutengenezwa.....
Kilichobaki ni kukanusha kwamba sheikh Sharifu Majini na Master Tindwa hawajapigwa risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…