Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Badala tufundishe vizazi vyetu kujikubali na kujiamini vile walivyo eti tunawasogezea kabisa huduma ya kubadilisha viungo na maumbile yao, huku tunapoelekea tutakua na wanawake fake wengi sana, wanaonea huruma watoto wa kiume maana watakutana na wanawake wa ajabu sana sijui itakuaje

I understand some circusmtances kuna wakatimtu inamlazimu afanye upasiaji/sajari kurekebisha sehemu ya mwili.ikiwa imeharibika kwa ajali au ugonjwa, hili naliunga mkono lakini sio mtu aliekamilika eti kwenda kuongeza tako au nyonyo au lips, tunatengenexa vizazi vya ajabu sana
 
Take it positively mkuu.
Hii target kubwa ni soko la watu kutoka nchi za nje like Uganda, Rwanda, Sauzi (medical tourism), na Watanzania wachache sana wenye kipato cha juu. Unadhani ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaweza kua fford kutoa 15m ili waongeze matak.o?
 
Wakiwa madaktari ni hawa hawa wa Tz hapafai
Ila kama kuna wa nje ya tz hapo sawa!
Nimewaza hivyo pia. Wabongo kwa kupenda shortcut wanaweza kuweka madada wa watu zege la matako.

Unakuta demu tako kubwa lakini gumu kama kibaraza cha msikiti. Ukimpiga kofi la mahaba unavunja mkono🤣🤣
 
Yaaan lazima wachanganyikiwe
akienda kule anakutana na pipa akirudi huku tofali akipiga macho kushoto kontena
full vurugu lazima vichwa vyao viende resi
Ukirudi nyumbani umelogwa na mke, kazini secretary kaweka limbwata kwenye chai,unasema ukapumzike kwa mchepuko, mara umekuwekea damu ya hedhi kwenye msosi. Unaponaje sasa?😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…