Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au umasikini wako.Kuwa flat sasa, itakuwa ni ubahili wako
Ndio maan wanaume wanakufa mapema maana wanachanganyikiwa kabisaMafurushi na viroba kuongezeka mjini
Ndio maan wanaume wanakufa mapema maana wanachanganyikiwa kabisaMafurushi na viroba kuongezeka mjini
Take it positively mkuu.Badala tufundishe vizazi vyetu kujikubali na kujiamini vile walivyo eti tunawasogezea kabisa huduma ya kubadilisha viungo na maumbile yao, huku tunapoelekea tutakua na wanawake fake wengi sana, wanaonea huruma watoto wa kiume maana watakutana na wanawake wa ajabu sana sijui itakuaje
I understand some circusmtances kuna wakatimtu inamlazimu afanye upasiaji/sajari kurekebisha sehemu ya mwili.ikiwa imeharibika kwa ajali au ugonjwa, hili naliunga mkono lakini sio mtu aliekamilika eti kwenda kuongeza tako au nyonyo au lips, tunatengenexa vizazi vya ajabu sana
Yaaan lazima wachanganyikiweNdio maan wanaume wanakufa mapema maana wanachanganyikiwa kabisa
Nimewaza hivyo pia. Wabongo kwa kupenda shortcut wanaweza kuweka madada wa watu zege la matako.Wakiwa madaktari ni hawa hawa wa Tz hapafai
Ila kama kuna wa nje ya tz hapo sawa!
Acha wapendezeshe dunia, angalau tupunguze msongo wa mawazo tukiwa barabaraniYaaan lazima wachanganyikiwe
akienda kule anakutana na pipa akirudi huku tofali akipiga macho kushoto kontena
full vurugu lazima vichwa vyao viende resi
Tatizo wabongo walipuaji. Wanaweza kupa mguu wa mtoto lakini umelegea kama mkonga wa tembo, hauna shughuli.Wafanye na upasuaji wa Kibamia kuwa mguu wa mtoto wa miaka miwili.
Ukirudi nyumbani umelogwa na mke, kazini secretary kaweka limbwata kwenye chai,unasema ukapumzike kwa mchepuko, mara umekuwekea damu ya hedhi kwenye msosi. Unaponaje sasa?😂😂Yaaan lazima wachanganyikiwe
akienda kule anakutana na pipa akirudi huku tofali akipiga macho kushoto kontena
full vurugu lazima vichwa vyao viende resi
Zinakuja na hizo mkuu, soon.Wafanye na upasuaji wa Kibamia kuwa mguu wa mtoto wa miaka miwili.
Hapo ndo utaita maji mmah😂😂Tatizo wabongo walipuaji. Wanaweza kupa mguu wa mtoto lakini umelegea kama mkonga wa tembo, hauna shughuli.
Watoto wenye Brazillian butt lift, bubble but, na kadhalika😅