Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Sio kwamba ataogopa umbea waa wabongo kufanyia hiyo kitu hapa nchini? Maana unaweza shangaa picha zake zikarushwa Mange App akiwa theater.
Hawezi ogopa ni vile alikuwa anashindwa kumudu gharama za uturuki basi anaishia tuu kila siku kutafuta app mpya za editing
 
Naelewa lakini kwa namna ambavyo jamii yetu ya kitanzania inavyotukuza matako kuna mabinti watachukua hata mkopo bank ili akatengeneze tako, we jiulize haya madawa ya wavhuna ya kuongeza matako na matiti yanavyogombaniwa
 
Yaaan lazima wachanganyikiwe
akienda kule anakutana na pipa akirudi huku tofali akipiga macho kushoto kontena
full vurugu lazima vichwa vyao viende resi
Siku hizi kuna mpaka matanki, kama huamini muulize legendari Analyse
 
Hivi Ukiongeza Baadaye Ukipata Mtoto Atanyonya Kama Kawaida Ama Haruhusiwi Kugusa MEWATA Tena
Inabidi nimuulize da mange kwanza ye alinyonyesha au vipi....mi nshamaliza kazi ya kunyonyesha kwahiyo yatakuwepo kwa ajili ya burudani
 
Inabidi nimuulize da mange kwanza ye alinyonyesha au vipi....mi nshamaliza kazi ya kunyonyesha kwahiyo yatakuwepo kwa ajili ya burudani
Sawa Uliza
Kama Umemaliza Ukitengeneza Yatakuwa Saa Sita (Simama Dede) Chuchu Konzi, Miiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…