Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Ghafla umegeuka mshauri😆😆Hapana niliyaona tu kwenye nguo, anyway hebu nitumie kapicha ka live nione kwa ushauri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghafla umegeuka mshauri😆😆Hapana niliyaona tu kwenye nguo, anyway hebu nitumie kapicha ka live nione kwa ushauri zaidi
Makubwa .yawe medium size😌Yaongeze, au Mr hayapendi?
Utaenda?😀Wafanye na upasuaji wa Kibamia kuwa mguu wa mtoto wa miaka miwili.
Hilo cheko limekaa kinafki sana [emoji16][emoji16]
Hii ipo mbona
Na my wii Mpwayungu Village
Tunawahitaji sana
View attachment 2593296
Wii tena?😂😂Na my wii Mpwayungu Village
Sio kwamba ataogopa umbea waa wabongo kufanyia hiyo kitu hapa nchini? Maana unaweza shangaa picha zake zikarushwa Mange App akiwa theater.Kama namuona diva atakavyochangamkia fursa 🤣
Hapa sio utapiga mifupa tu mkuu?😂😂Aloooooo huu mdude piga kavu kavu ndyo raha maee [emoji39][emoji39][emoji39]
Hawezi ogopa ni vile alikuwa anashindwa kumudu gharama za uturuki basi anaishia tuu kila siku kutafuta app mpya za editingSio kwamba ataogopa umbea waa wabongo kufanyia hiyo kitu hapa nchini? Maana unaweza shangaa picha zake zikarushwa Mange App akiwa theater.
Hivi Ukiongeza Baadaye Ukipata Mtoto Atanyonya Kama Kawaida Ama Haruhusiwi Kugusa MEWATA TenaNitaongeza manyonyo
Kumbe?Hii ipo mbona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh ni wa wakwetu wanatumia tutorial za YouTube
Ndio ni my wii ana bwana mwalimuWii tena?😂😂
Naelewa lakini kwa namna ambavyo jamii yetu ya kitanzania inavyotukuza matako kuna mabinti watachukua hata mkopo bank ili akatengeneze tako, we jiulize haya madawa ya wavhuna ya kuongeza matako na matiti yanavyogombaniwaTake it positively mkuu.
Hii target kubwa ni soko la watu kutoka nchi za nje like Uganda, Rwanda, Sauzi (medical tourism), na Watanzania wachache sana wenye kipato cha juu. Unadhani ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaweza kua fford kutoa 15m ili waongeze matak.o?
Inabidi nimuulize da mange kwanza ye alinyonyesha au vipi....mi nshamaliza kazi ya kunyonyesha kwahiyo yatakuwepo kwa ajili ya burudaniHivi Ukiongeza Baadaye Ukipata Mtoto Atanyonya Kama Kawaida Ama Haruhusiwi Kugusa MEWATA Tena
Sawa UlizaInabidi nimuulize da mange kwanza ye alinyonyesha au vipi....mi nshamaliza kazi ya kunyonyesha kwahiyo yatakuwepo kwa ajili ya burudani