Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa! Kwa kweeli. 😂Hapana, na nyie muende mfanyiwe 'facelift', mtolewe makunyanzi hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa! Kwa kweeli. 😂Hapana, na nyie muende mfanyiwe 'facelift', mtolewe makunyanzi hayo.
Ila costs za kufanya hizo plastic surgeries ni kubwa zaidi kuliko hizi za Mloga.South hospital za kutibu mbwa ninyingi kuliko hata za kutibu binadamu
😂😂😂Nina dushe la inchi 7.5 kama unataka kuthibitisha karibu sana nikuhudumie.
Hapana. Wanachofanya wanatoa mikunjo mikunjo ya kwenye shingo na fat deposits ambazo zinafanya unaonekana mzee, na kuiweka shingo kuwa na muonekano mzuri zaidi na wa ujana.Hapo kwenye "neck lift" wameniacha hoi,Ina maana wanauwezo wa kuongeza urefu wa shingo?
Asante mkuu,nimeipenda username yako,hivi hao Huwa unawafuga ?Hapana. Wanachofanya wanatoa mikunjo mikunjo ya kwenye shingo na fat deposits ambazo zinafanya unaonekana mzee, na kuiweka shingo kuwa na muonekano mzuri zaidi na wa ujana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh ni wa wakwetu wanatumia tutorial za YouTube
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanipata kwenye facelift, nataka nibadilike kabisaaaaa hadi sauti dadeki
😅😅😅 Ni muda wa kujiongeza Sasa kupiga hela kitaaaEeh ni wa wakwetu wanatumia tutorial za YouTube