Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Hapo kwenye "neck lift" wameniacha hoi,Ina maana wanauwezo wa kuongeza urefu wa shingo?
 
Hapana. Wanachofanya wanatoa mikunjo mikunjo ya kwenye shingo na fat deposits ambazo zinafanya unaonekana mzee, na kuiweka shingo kuwa na muonekano mzuri zaidi na wa ujana.
 
Asante mkuu,nimeipenda username yako,hivi hao Huwa unawafuga ?
 
Serikali isingeruhusu huo upuuzi,ingejaribu kuleta teknolojia ya kumaliza mbu wote nchini,kama nchi ya Cuba walivyofanikiwa.
 
Back
Top Bottom