Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Unaifahamu Muhimbili vizuri??
Umewahi hata kutia mguu Muhimbili ?
Hospital ya usalama wa taifa oale kijitonyama wana hospitali yao kubwa tu mzena ndo mpango mzima na wametengewa jengo lao kabs muhimbili ni kama pharmacy tu kwao
 
kwahiyo kuanzia Dr, mlinzi hadi mfanya usafi wote ni wazee wa kitengo?
Mfagizi wa kitengo ni mfagazi tu kama wafagizi wengine kwenye ofisi nyingine ila hawezi kuwa mmbeya wa kuzungumza anayoona na kusikia kazini kwake.
 
Hakuna Hospitali bora kuliko Muhimbili nchi, kesi yako ikishindikana Muhimbili ni nje ya nchi tu.
Mzena Memorial Hospital ni hospitali ya kisasa sana naweza kusema hata Muhimbili haifikii viwango vya Mzena ndio maana inaogopeka sana, kesho ntafanya ziara ya kushtukiza ntawapa mrejesho, waTanzania mniombee nirudi salama
 
Sijaelewa Bado unauliza swali harafu unajijibu mwenyewe!!
Kwani julius Nyerere international airport,ni ya Nyerere?hiyo ni heshima kapewa baba wa Taifa
 
Niliwai kuonana na huyu mzee alikua mteja sana Motel Agip VIP,
Akigonga Cognac za bei ile ya mwisho kabisa juu.na Cocktail hasa Margarita.
Msosi wake lazima Chef aje amsikilize.
Nikawa najiuliza huyu jamaa ni nani?
Ndio kuambiwa Mzena huyo.
Nikakumbuka nilisoma na kijana wake chuo fulani,hakuwai hata kujidai au kuonyesha dingi yake taita vile.
 
Very true hapo ndo alikuwa anapiga vyombo sana... Hapo chini amepark Peugeot Four Four... Au land Rover... Dereva wake Max...
 
Jinga kweli wee unampeleka mam kwa maafisa mkionekana wahuni
 
Agnes masogange alifia hospital ya mzena itmeans nae alikua usalama?
 
Hii hospital ya mzena inajulikana ya manjagu vipi Agnes masogange afie pale?

Au nae alikuwa njagu?

Mtu binafsi unaruhusiwa kutibiwa pale?
 
Hii hospital ya mzena inajulikana ya manjagu vipi Agnes masogange afie pale?

Au nae alikuwa njagu?

Mtu binafsi unaruhusiwa kutibiwa pale?

Masogange alifia hospital ya Mama Ngoma wewe! Acha kuchanganya mambo… Halafu hiyo hospital ya Mzena haibagui ni nani wa kutibiwa pale, ni uoga tu unawasumbua watu! Wewe ukiumwa just go, utatibiwa tu…!!!
 
Mkuu we huwa unaenda kutibiwa mule? Au bas. Unaweza kuta hata wew ni njagu
 
We mzee unajua sana

Unataja margarita tena

Ova
 
Agnes masogange alifia hospital ya mzena itmeans nae alikua usalama?

Familia ya Agnes unaifahamu…?
Au aliyekuwa behind Agnes unamfahamu..???
Tafuta wafanyakazi wa pale watakwambia..!
Me kwa ufahamu wangu ndo upo ivoo..
Nina ndgu kaoa familia ambayo mama yao ni usalama but mpaka yeye file lake liko pale na akitaka kutibiwa anatibiwa vizur kabisa
 
Masogange alifia hospital ya Mama Ngoma wewe! Acha kuchanganya mambo… Halafu hiyo hospital ya Mzena haibagui ni nani wa kutibiwa pale, ni uoga tu unawasumbua watu! Wewe ukiumwa just go, utatibiwa tu…!!!
acha uongo wako kwamba hospitali ya mzena haibagui ,
Hospitali ya mzena ni hospitali special tu kwa ajili ya maafisa usalama wa taifa na familia zao hususani waliopo Dsm.
viomgozi wengine wakuu wa kiserikali nao wanatibiwa hapo kwa vibali maalumu.
Ni hospitali kama zile za jeshi la polisi au hospitali za JWTZ .
Raia tu wa kawaida huwezi kujiendea tu kwenye hospitali hizo kupata matibabu
Hospitali tu za jeshi zimekuwa zinaweza kukubali kutibu raia bila ubaguzi ila sio za polisi na hiyo ya tiss
 
Nilichanganya masogange alifia hosp ya Mama Ngoma
 
Uongo gani sasa? Ile ni hospital ya umma acha kuwa zwazwa! Ulishawahi kuugua ukaenda pale ukafukuzwa…? Ama ni nani unayemfahamu alishawahi kwenda pale akafukuzwa kama una ushahidi weka hapa…!
Wewe ukiugua nenda hapo kama hutotibiwa uje ulete mrejesho…
Acha kuleta stori za vijiwe vya kahawa hapa..!
Kuhusu viongozi kutibiwa kwa vibali maalum, mbona zipo hospital nyingi tu zenye utaratibu wa namna hiyo…!
 
Eh mada pendwa jf inarekea naona

Anyway huyu mzena niliishi naye jirani

Tulikuwa tunamuita baba freddy

Ova
Mrangi huyu mzee ndio kwake kulikuwa na mamas pub Ada estate? Kuna yule jamaa aliyempiga chenga za mwili Mh Vicky Kamata za kumpeleka kanisani na michango akakomba ya harusi ili hali hakumuoa akiitwa Charles Pie ni mtoto wa Mzena?
 
Yah mitaa hiyo hiyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…