Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Wanabodi habarini za masiku tele

Ninaomba kujuzwa Mzena Hospital iko wapi, inamilikiwa na nani na inahudumia watu wenye magonjwa yepi zaidi

Je ni taasisi ya serikali?
TISS
 
Hii hospitali wanatibiwa wafanyakazi wa Usalama wa Taifa na hata familia zao, ni kama hospitali nyinginezo za majeshi, tofauti ni kuwa miaka michache iliyopoita wamejenga wodi ya VIP ambayo Mkapa na Sita walifia hapo.
Ongezea na magu
 
Hata JK alipoangukaga jukwaani alipelekwa hapo... By the way kuna hospitali mbili mle ndani,moja ndo wanatibiwa wakazi wa mule ndani
 
Ukiwa na bima za kawaida? Na pale getini unapitaje?
[/QUOTE]
Hii ya viongozi kutibiwa huko siamini.viongozi wote Mbona wanajua muhimbili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…