Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Wamemuua rais wetu kisa vaccine nikiamata nhozi nyeupe itakayo ingia kumi na nane zangu na ua
Utaweza kuua kweli kama kuandika tuu kunakushinda??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemuua rais wetu kisa vaccine nikiamata nhozi nyeupe itakayo ingia kumi na nane zangu na ua
Ulishawahi kwenda?Kitu ambacho watu hawajui kila mtu anaweza kwenda pale, mchawi nhif tu na confidence zako
Marehemu Emirio Mzena ndio akiwa mkuu wa idara ya usalama wa Taifa aliwai kuona viongozi hasa mawaziri wengi wakiwa wanalewa na kuongea hovyo.. Akaenda kumwambia Boss wake Mwl Jk Nyerere kwamba awaambie mawaziri wake waache hizo tabia zao la sivyo atawaweka ndani.. Mwl Nyerere kuona hivyo ndio akaamua kutenga sehemu maalum kwa viongozi kupata burudani.. Leaders Club pale Kinondoni..Nani kakwambia? Si ulete ushahidi tu.
Usalama wa taifa hawakai kwenye kota hakuna mabata huko wao wanaishi kwenye nyumba, ila polisi na bata wao wanakaa kota.Ipo makumbusho kwenye kota za usalama wa Taifa
Wewe inawezekana unapajua maana hatagetini unauliza unapitaje?Ukiwa na bima za kawaida? Na pale getini unapitaje?
Nimecheka kwa sautiitakua ipo makao makuu ya wanaojulikana
Kipindi nimeingia dar nikiwa bado mwananchi mtiifu ,nilimpeleka mamangu ,na alikuwa Hana bima,nikatinga getini nikapokelewa na makamanda,nikaingia mpaka ndani tukiwa tunatembea na mama.kufika reception nikaulizwa nikasema nimemleta mama kutibiwa, wakaniuliza alishawahi kutibiwa hapa nikasema hapana,anatumia bima hapana,Kuna ndugu yako hapa nikasema hapana.wakanipeleleza kama nusu saa hivi nikasema basi ngoja nimpeleke kwingine,na kulikuwa na hali ya mvua hivi nikaondoka na mama na hatukuwa na usafiri ,tukiwa Bado tuko maeneo ya hospitali alikuwa kaka Moja hivi na gari akaniuliza mbona unamtembeza mama kwenye mvua akatupakia kwenye gari,akaniuliza mnaenda wapi nikamwambia nampeleka mama hospitali kairuki.alitupeleka na gari mpaka kairuki na kutufukisha akageuza gari na kuondoka.
Wale watu wako makini sana na Mimi nilienda pale kwa ajili ya kujaribu na kuona mazingira ya mle na kwa kwakuwa nilikuwa na mama na mama alikuwa umri umeenda nikasema ngoja nipaone hapa kwa makamanda
Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena? Sijawahi isikia.
Ipo wapi
Nani mmiliki
Ubora ukoje
Emirio ndio nani?Marehemu Emirio Mzena ndio akiwa mkuu wa idara ya usalama wa Taifa aliwai kuona viongozi hasa mawaziri wengi wakiwa wanalewa na kuongea hovyo.. Akaenda kumwambia Boss wake Mwl Jk Nyerere kwamba awaambie mawaziri wake waache hizo tabia zao la sivyo atawaweka ndani.. Mwl Nyerere kuona hivyo ndio akaamua kutenga sehemu maalum kwa viongozi kupata burudani.. Leaders Club pale Kinondoni..
Mtu alikuwa muadilifu sijapata kuona nchi hii.. Miaka ya tusi katikati niliwai kufanya kazi kwenye Kampuni yake ya Clearing and forwarding... Alikuwa na tender ya kupeleka Embe Falme za Kiarabu.. Cha moto tulikuwa tunakipata..
Alichukua rushwa. Uzembe na ubabaishaji kwa kiwango cha SGR..
RIP Mzee wangu Emirio Charles Mzena
Enhe tuendelee kupata ubuyu,maana sie wengine tukija huko Dar huwa tunaishia Manzese na kugeuza...Eh mada pendwa jf inarekea naona
Anyway huyu mzena niliishi naye jirani
Tulikuwa tunamuita baba freddy
Ova
Wanaoenda Wote pale Wana file Zao Hata Kama una Enichaiefu Mzee WanguKitu ambacho watu hawajui kila mtu anaweza kwenda pale, mchawi nhif tu na confidence zako
Kupata huduma kwenye hospitality unazozijua ni shida.Kwanini uhangaike kwenda kwenye hospitali ambayo hata kibao cha tangazo la hii ni MZENA HOSPITAL halipo,wewe unang'ang'ania tu.Ukifia getini kwa mahojiano?
Marehemu Emirio Mzena ndio akiwa mkuu wa idara ya usalama wa Taifa aliwai kuona viongozi hasa mawaziri wengi wakiwa wanalewa na kuongea hovyo.. Akaenda kumwambia Boss wake Mwl Jk Nyerere kwamba awaambie mawaziri wake waache hizo tabia zao la sivyo atawaweka ndani.. Mwl Nyerere kuona hivyo ndio akaamua kutenga sehemu maalum kwa viongozi kupata burudani.. Leaders Club pale Kinondoni..
Mtu alikuwa muadilifu sijapata kuona nchi hii.. Miaka ya tusi katikati niliwai kufanya kazi kwenye Kampuni yake ya Clearing and forwarding... Alikuwa na tender ya kupeleka Embe Falme za Kiarabu.. Cha moto tulikuwa tunakipata..
Alichukua rushwa. Uzembe na ubabaishaji kwa kiwango cha SGR..
RIP Mzee wangu Emirio Charles Mzena
Hii taasisi Ofisi zake ziko wapi?Ni hospitali muhimu kwa viongozi wa kitaifa.
Pia kwa usalama wa taifa, wao na watoto wao
Imepewa jina hilo kuenzi kazi kubwa aliyofanya mzee kuijenga taasisi ya usalama wa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app