Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Kwa hiyo sifa ya hospital ni kuwa na Mortuary?

Mimi nikiona hospital ina Mortuary sitaki kutibiwa.Wanga wakubwa .Kazi ya Hospital ni kuponya sasa wanapoweka Mortuary ni kukuambia wazi kuwa hapo hospital unapoingia tarajia Mortuary. Si unaiona.
Hospital yenye Mortuary watu huwa wanakufa sana

Nikienda kutibiwa hospital yeyote huwa nauliza kwanza mapokezi kama hiyo hospital ina Mortuary wakisema inayo nakimbia spidi ya mwewe kwenda kutibiwa kwingine
😂😂🤣🤣🤣
 
Nimewahi kuingia Mzena kwa tiketi ya ndugu zangu kadhaa ambao ni maafisa vipenyo.

Mule ndani acha kabisa, kuna mambo mengi mazito, nilishangaa kukuta sheli kubwa sana ya mafuta mita chache kabla ya hospitali (kwa ajili ya maafisa ku-fuel magari yao).

Wakati flani nikiwa nauguza mmoja wa ndugu zangu, ilipofika muda wa chakula nikafatwa na jamaa mmoja akaniuliza utajisikia kula nini mchana! Nikaanza kukodoa. Akaniambia wanatoa chakula bure kwa watu wanaokuja kutembelea na kuuguza wagonjwa wao, akanipa menu..aisee ni vyakula vya hatari! Nilipotoa order nikaletewa msosi murua kabisa halafu mwingi, ukanishinda hata kumaliza.

Chumba cha mgonjwa tu ni kama sebule, kikubwa kina kila kitu. Aisee kile kitengo kinajipendelea sana. Najuta kwanini nilikataa kuingia huko kipindi hicho [emoji2960][emoji28]
Bora ulikataa kuingia na ulokole ulionao ungepewa mission ya kuteka na kuua ungeweza?
 
Nimewahi kuingia Mzena kwa tiketi ya ndugu zangu kadhaa ambao ni maafisa vipenyo.

Mule ndani acha kabisa, kuna mambo mengi mazito, nilishangaa kukuta sheli kubwa sana ya mafuta mita chache kabla ya hospitali (kwa ajili ya maafisa ku-fuel magari yao).

Wakati flani nikiwa nauguza mmoja wa ndugu zangu, ilipofika muda wa chakula nikafatwa na jamaa mmoja akaniuliza utajisikia kula nini mchana! Nikaanza kukodoa. Akaniambia wanatoa chakula bure kwa watu wanaokuja kutembelea na kuuguza wagonjwa wao, akanipa menu..aisee ni vyakula vya hatari! Nilipotoa order nikaletewa msosi murua kabisa halafu mwingi, ukanishinda hata kumaliza.

Chumba cha mgonjwa tu ni kama sebule, kikubwa kina kila kitu. Aisee kile kitengo kinajipendelea sana. Najuta kwanini nilikataa kuingia huko kipindi hicho [emoji2960][emoji28]
Ok
 
Back
Top Bottom