La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 343
Muhimbili njooni jf hata kwa ID fake mpate madiniBy the way Prof, fungua page yenu hapa JF mpate the real picture of you! Wewe kuna mengi huyajui kwa position yako! Professors normally at your rank, very rarely teach, attend patients, they only travel a lot for attending scientific conferences around the world!
exactly hata kwa ID fake! watapata ukweli ....."WHAT THEY SAY ABOUT US"Muhimbili njooni jf hata kwa ID fake mpate madini
Kuwe na utaratibu sasa wakufunguliana kesi za ‘medical negligence’ vifo ambavyo chanzo chake ni uzembe walipe fidia. Ndio njia pekee yakulazimishana ku maintain professionalism and quality standards kwenye kutoa huduma.
Hilo hata mimi limeniduwaza, nimeshindwa kuelewa wagonjwa wanaongezeka sabab ya trust kwa hospitali husika ama wamejiimarisha na kujitanua kiasi cha kuweza kuhudumia wagonjwa wengi in a given time.Watu wanajisifu wagonjwa kuongezeka na vifo kupungua
Siasa bwana ![emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly. This is what I wz talking about.Yaani kwa MNH-Mloganzila wameweka asilimia za mortarity rate (14.9 to 10.5) bila ya idadi halisi, halafu kwa MNH-Upanga wameweka both asilimia za mortarity rate na idadi kamili ya waliofariki. Ukitumia asilimia peke yake bila kuweka figure halisi unaweza kuwa unataka kuficha kitu fulani, kwani waweza kuona asilimia ni ndogo lakini inawakilisha maelfu ya watu waliofariki.
Ndiyo maana tunasema Tundu Lisu ana makusudi na Mungu. We angalia, kitendo cha malaika gabriel kuwaongoza kuwa asitibiwe Muhimbili, ni Mngu tu! Huyu angelikufa kabla ya kupata chupa ya pili ya damu muhimbili! Lisu atakuja kuwa Mtume wa Kweli wa Mungu!Je, upasuaji aliofanyiwa Tundu Lisu ungefanyika hapo, angeendelea kuwa hai leo (Angepona) ?
Hahahahah.. ebhana eeh!!Absolutely true! na sasa hiyo form six ya PCB "kila" mtu anapata AAA! , BBB, AAB etc in this range. This was unthinkable in the 70s and 80s! Sasa uchafu mtupu unakwenda Muhimbili and other rubbish medical schools!
Angalia mtihani wa mwaka jana wa Biology eti ni form six!
View attachment 1313942View attachment 1313943View attachment 1313944View attachment 1313945
Hapo hapo kabla uchungu aujaisha wa kumpoteza ndugu kwa uzembe wao tena unaambiwa uilipie kuitoa maiti.Tanzania ni taifa la Vilaza,
Watu wetu hufa hospitali kinamna isyokuwa na ufafanuzi wa kina,kisha sisi tunakubali na kubeba maiti,
Kumbe ilikuwa uzembe wa madaktari,au negligence.
Ingelikuwa Kenya mambo yangekuwa mengine .
Mbatia kaongea sanaa juu ya Elimu.. Kapiga kelele sana Bungeni Bunge la Sita.Mkuu wewe umeona tatizo lilipoanzia. Ni kweli kabisa na nadiriki kusema si kwenye afya tu bali sekta zote za nchi yetu wamejaa wahitimu vilaza. Kelele zilipigwa muda mrefu mamlaka zikapuuza na sasa tunavuna tulichopanda. Kuna wahitimu wa vyuo vikuu wengi sana hawana uelewa wa form four leaver aliyesoma shule nzuri. Ni majanga. Hii issue ni kama ujengaji na mpangilio wa jiji la Dar. Tulifumbia macho siku za nyuma na sasa tumeshafikia stage ambayo kurekebisha itachukuwa ni gharama kubwa sana.
Na bado. Huo ni mwanzo tu.Hawa madokta walio huko Mloganzila na sehemu nyingine nyiingi.
Bila shaka ndo wale wa Kikwete wa BRN... Division 5..
Wakaja wengine wa GPA....
Tumecheza na ELIMU sana.