Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

Watanzania tuwe na tabia ya kupima mara kwa mara..hata kama huna ugonjwa.hii.haitaondoa tatizo completely bali itapunguza vifo vinavyoepukika….hii mentality mpaka uumwe ndio uende hospitali mnatafutia madaktari lawama tu. Mwalimu Umy anzisha continuous campaign watu wapime afya zao mara kwa mara...

And,Second mimi naomba Madaktari wanafunzi wafundishwe kwa Kiswahili..huku O level na A level ni mwendo wa kukariri tuu...so sidhani ikifika chuoni hali hii ya kukariri inabadilika,so sometimes na feel huko kwa madaktari kuna waliopita kwa njia hii hii ya kukariri,this is dangerous..mnacheza na Maisha ya watu...
 
Ukiwa wafikiria kama great thinker watakiwa uanze kwa kufikiria aina ya wagonjwa wanaoenda Mloganzila. Watanzania wengi wakienda hospitali ujue wako terminally ill, na hospitali huwa kama sehemu ya wao kufia.
Kwa ufikiri huohuo wa ki great thinker jiulize kwanini Mloganzila na sio hospitali zingine na hii si mara ya kwanza kwa uzi kama huu kupanda hapa jukwaani huku wachangiaji walio wengi wakichangia kwa kuonyesha kinacholalamikiwA ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medical negligence ndio mzizi wa tatizo.

Ni jambo la kusikitisha unafika hospital na mgonjwa akiwa amezidiwa kweli lakini unakutana na wataalam wetu wako very very lazy.
Wanafanaya kazi kwa mazoea. Wenhine wako buzy na smartphone.
 
Unadhani kwanini watu hawapimi afya?

Madaktari wenyewe wa Tz wamezoea mgonjwa ni yule anayeletwa na machela.
 
Medical neglogence ndio mzizi wa tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeleke madokta wao wanaowapa nafasi za management kusomea jinsi ya kuendesha huduma za afya na wizara iwe inatoa miongozo ya kisera kwenye viwango vya huduma vinavyotakiwa.

Madokta wanasomea kutibu, sio kusimamia na kuendesha hiyo huduma kwa ufanisi. Hapo ndio tatizo linapoanzia jumlisha na kukosekana kwa accountability za medical negligence zinachangia kupunguza umakini katika kazi kwa sababu hakuna kuwajibika kwa sababu za uzembe.

Mzizi wa tatizo linaanzia na watalaamu wizarani hawana sera wala uelewa wa jinsi zinavyosimamiwa from top-down kuhakikisha kuna standardisation kwenye utoaji wa huduma za afya.

Waziri yeye anachojua ni bohari la madawa na kuhamasisha watu kununua medical cover, lakini technicalities za kuendesha wizara Kaput.
 
kunahitajika campaign kubwa itakayoleta awareness kwa madaktari na watu wa kawaida
Kabisa kampeni muhimu sana. Magonjwa mengine ni ya kawaida tu lakin yanasumbua mno kisa ukienda kwa Daktari ht Mwaka mzima anaandika dawa tu no vipimo.
 
Nauliza, hivi kuna kitengo chochote independence ambacho kinachunguza vifo vya hospital zote nchini? Maana vifo vyengine ni uzembe uzembe tu.

Muhimbili imekuwa pia ni kawaida, kama operation ya jicho la kushoto unakufanyia kulia, kama kukatwa mguu wa kulia unakatwa kushoto, au kama wewe mgonjwa na jino na jirani yako yeye wa jicho usishangae ukatolewa jicho baada ya jino, hio ndio muhimbili yetu
 
For the sake of his survival at the office he had please the mass with such colored stats. Uhalisia uko kwenye hizo comments za watu hapo ambao ndio wadau wenyewe. Mitazamo ya watu itabadilishwa kwa huduma Bora na si takwimu.
 
wepi hao?
Yahn nina jamaa zangu ni chenga sana masihara mengi miyayusho kweli yahn sahv madaktari aisee wanzngua sana story zao ss daaah upuuzi mtupu wanawatafuna sana wagonjwa kwa kifupi meme mwnywe iman nao sina katika tiba mfano kuna kipind walitaka kunipima ukimwi bila ushauri nasaa hahaha niligoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof kwani wewe ni mjinga hata ukubali hadharani, binafsi nilidhani taarifa hizi zingekusaidia kufanya uchunguzi ili kujua mbivu na mbichi badala yake unakuja na data ambazo sisi kama wananchi wa kawaida hazitusaidii.

Watu mbali mbali wakiwemo member wa jamii forums yaliwakuta ya kuwakuta huko mloganzila ndio sababu wameyasema hapa. Nakushauri muanzishe page yenu hapa kama ilivyo kwa tanesco, dawasco, NMb na mashirika mengine ili mpokee maoni ya wananchi kwa urahisi ili kuboresha huduma zenu, kumbuka mnadeal na afya za watu. Bila kupepesa macho nasema ni kweli hospital ya mloganzila vifo vimezidi na huduma ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
taifa la TANZANIA lote na mipaka yake hamna hospital yenye vipimo kama mloganzila ...kila hospital unayo ijua ww Tanzania
 
Pakawa,
umejigundua kama umeandika upuuzi kama vitu huvijui sio kuandika andika tu
mloganzila hakuna mwanafunzi anae enda na usi mdharau anae soma udaktari Tanzania tena muhimbili maana amekuzid vingi ukitoa kutopoka kwako
 
siata,
Rekebisha kichwa cha Uzi ungeandika 'Imewajibu Watanzania' kuandika kuwa wameijibu JF ni kuifanya ichukiwe na watawala bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…