Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Watanzania tuwe na tabia ya kupima mara kwa mara..hata kama huna ugonjwa.hii.haitaondoa tatizo completely bali itapunguza vifo vinavyoepukika….hii mentality mpaka uumwe ndio uende hospitali mnatafutia madaktari lawama tu. Mwalimu Umy anzisha continuous campaign watu wapime afya zao mara kwa mara...
And,Second mimi naomba Madaktari wanafunzi wafundishwe kwa Kiswahili..huku O level na A level ni mwendo wa kukariri tuu...so sidhani ikifika chuoni hali hii ya kukariri inabadilika,so sometimes na feel huko kwa madaktari kuna waliopita kwa njia hii hii ya kukariri,this is dangerous..mnacheza na Maisha ya watu...