On other side:
Mlongazila ilijengwa ili kuwa training hospital(yaani ingekuwa campus ya Muhas) na baada ya kukamilika mùhas walianza kuajiri taratibu taratibu staffs,Lengo likiwa ni kwenda hatua kwa hatua mpaka hospitali itakapokuwa na full man power.
Lakin ghafla no 1 akapindua meza kwanza kwa kusitisha kibali cha ajira,pili siku ametembelea pale ghafla akaamuru wagonjwa toka muhimbili wahamishiwe mlongazila na hii ilikuwa very shocking news kwa chuo cha Muhas kwa kuwa lengo ilikuwa ni chuo kijitegemee hadi kuwa na hospitali yake ya kufundishia.
Swala likaja man power inatoka wapi? nadhan ndio msala uko hapa. Na hao ma specialist anaosema prof sidhan kàma idadi hyo wanafika unless wanahudumu muhimbili na mlongazila kwa wakati tofauti. Sote twajua mpaka kupata daktari bingwa inachukua mda kidogo.
Yote kwa yote ilikuwa ni kosa kukurupuka kuhamishia wagonjwa mlongazila bila kuwa na nguvu kazi ya kutosha.Madharà yake ndio haya.
Mungu awahurumie wagonjwa wapone. Inauma kupoteza ndugu kwa uzembe. Lakini mambo ya siasa kwenye taaluma madhara yake ndio kama haya.
Sent using
Jamii Forums mobile app