Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba alijua ni kufyatua tuMtoto anakuja sio bahati mbaya... tufanye maandalizi bure gharama
20,000 ya kuanza clinic wapi hapo tena!ndio umevilipia hivyo na ajabu zaidi ilikua mjamzito kuanza clinic ni bure sasa hivi andaa 20,000 ya kuanzia clinic
Na siku ya kujifungua ukitaka huduma nzuri pia shikisha nurse ata efu10 tenaWanasiasa wachonganishi sana wanatangaza huduma kwa mama mjamzito kuanzia clinic ni bure.
Mama mjamzito akianza clinic kwanza kabisa akatoe photocopy ya kadi then mambo mengi yaendelee.kupima VVU,fetalheart,umri wa mimba na mrdt hivyo bure kabisa.
Hb,mkoja wa kutambua protein na sukari,kaswende hivyo mama lazima na siyo chini ya elfu 15-20.
Bado siku ya kujifungua vifaa vichache wanaojifungua ni wengi hapo ndio unapokuja mtihani.Mwisho wa siku waganga na wauguzi wanatupiwa lawama.
Wilaya ni kubwa. Hai sehemu gani ? Ili tufikishe ujumbe vizuriNimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya WIlaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao hawana kweli????
Wizara ya Afya chini ya Doroth Gwajima na Mollel mjitathmini mnapo simama majukwaani na kujinadi kwamba mnatoa huduma ya kina Mama wajawazito bure, nilicho kifanya mimi kwakuwa nilikuwa naelekea Arusha nikaambiwa kuwa mdada anajifungua ambaye ni ndugu nilimpa sh elf6 ya Pamba, Gloves elf 1, Dawa za kuongeza damu elf 4,000 nikaambiwa kwakuwa siku zake bado kidogo anunue dawa zimsaidie mtoto asitoke kabla siku hizo chache anasubiri dawa Hawana zinauzwa elf15 x 3 sasa nikampa hela akaenda kununua.
Hivi Serikali haya maneno yenu kuhusu huduma bure kwa wajawazito iko wapi, ni hapa Wilaya ya Hai tu au na kwingine. Sasa nakumbuka mnavyo jinadi mnasema mnalipa watu Pensheni huku mnakwepa kuzungumzia Mafao ya walio na mwaka hawajalipwa wakiwemo Askari Polisi. Tunako kwenda Mtakubali tu kwamba mmezidiwa sera hazifanyi tena kazi.
Mbona laki ndogo kwingine zinaenda zaidi ya laki2Wife alijifungualia hospitali ya serkali Magunga kwa operation nililipa karibu lake nzima
Mke wangu laijifungua 2016, hatukununua chochote wala kulipia chochote.ndio umegundua hili leo?? ni kote atajifungua bure lakini vifaa unanunua na havizidi 20,000 labda sehemu uliopo
Sijui tunaishi nchi tofauti. Mimi mbona mke wangu hatukulipa chochote?Wife alijifungualia hospitali ya serkali Magunga kwa operation nililipa karibu lake nzima
Bado nashangaa ni wapi huko? Mbona mm mke wangu alipojifungua hatykulipa chochote?Mbona laki ndogo kwingine zinaenda zaidi ya laki2
Naona inategemea na uongozi nafikiri....ziko mahali mjamzito akifanyiwa operation unalipa utafikiri private uchwara zile za gharama nafuuBado nashangaa ni wapi huko? Mbona mm mke wangu alipojifungua hatykulipa chochote?
Sijui vipi mkuu, alijifungulia wapSijui tunaishi nchi tofauti. Mimi mbona mke wangu hatukulipa chochote?
Shkamoo blaza[emoji850]Watoto wako wanaweza kuzaliwa marekani,lakini wewe mwenyewe ni masikini wa kutupwa,achilia mbali elimu kukupiga chenga maana hata kuandika tu mtihani............yaani umtie mimba mwanamke wako,serikali ije kukulipia?...acha ujinga basi
yani laki tu unalialia huku, acha kupenda dezo UTAOLEWA.Wife alijifungualia hospitali ya serkali Magunga kwa operation nililipa karibu lake nzima