Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

Hapo unapewa vifaa vyote?
Maana Delivery Kit inakuwa vifaa vyote muhimu ndani yake ambapo bei yake ndio 28k hadi 30k huku nilipo
yes ni full package pamba kile kiwembe, mpira, kibanio cha kubania kitov cha mtoto, gloves,kuna kichupa kina maji ndani yake kuna uzi, bomba la sindano na sindano yake pamoja na ile dawa ya kupunguza dam na ile ya kuwekewa mkononi kama kutakua na kutundikiwa drip la uchungu
 
Pale unaenda kwakua kunamtaalam wakukata kondo lanyuma pia kunajengo ili usijifungulie porini Kama wanyama japo punda huificha kumwona tambua unakua mganga wajadi

Ccm na serikali yake ndo ilivo
 
yes ni full package pamba kile kiwembe, mpira, kibanio cha kubania kitov cha mtoto, gloves,kuna kichupa kina maji ndani yake kuna uzi, bomba la sindano na sindano yake pamoja na ile dawa ya kupunguza dam na ile ya kuwekewa mkononi kama kutakua na kutundikiwa drip la uchungu
Huku kumbe watu wanapiga mapesa tu maana bei ipo juu huku
 
poleni kumbe sie kidogo tuna nafuu kizaazaa sasa hivi ukitaka kuanza clinic ubebe kama 25 ya kuanzia hapo bado hujanunua vifaa 15,Mungu atusaidie
 
Kwenye kituo kilicho karibu na mimi hapa, gharama za Clinic ziko kawaida sana, labda ukiandikiwa vipimo ndipo zitapanda.

Hata Hospital ya Rufaa ya huku, kumuona daktari ni 2500/=(hapa kumuona kwa ujumla ila wakienda kukuelekeza kitengo husika ndipo gharama zitakuwa zingine).

Ngoja tuendelee kupambana na gharama za hivi vifaa tu maana hatuna ujanja
 
Halafu mbona hukutuomba tukutajie jina zuri la Junior.

Bila shaka kashaanza Baby Class huyo Junior
 
sisi kugongesha nielf 2 ukishamuona dokta akikuandikia vipimo kila kipimo utalipia, dawa ukiandikiwa utanunua utakazobahatika kupata utapata sometimes hata panadol ukanunue sio mchezo
 
Halafu mbona hukutuomba tukutajie jina zuri la Junior.

Bila shaka kashaanza Baby Class huyo Junior
😂😂😂😂 bahati mbaya nilishakua na jina tangu yupo tumboni mpaka najifungua na Mungu kunipa jinsia nimtakaye ikawa imepita hiyooo, wee nasubiri atimize mitatu kamili hapa naona kama akianza baby class ntapoteza hela bure
 
Duh.
Hali ya Maisha sio shwari kwa kweli.
Na hichi ndicho kipimo cha Umaskini..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati mbaya nilishakua na jina tangu yupo tumboni mpaka najifungua na Mungu kunipa jinsia nimtakaye ikawa imepita hiyooo, wee nasubiri atimize mitatu kamili hapa naona kama akianza baby class ntapoteza hela bure
Daaahh, ulitunyima haki ya kuchagua, kama tunavyonyimwaga na kile chama ambacho huwa na majibu kabla ya mchakato.

Majunior kawaida yao kula pesa, wala usiogope hilo badala yake elekeza nguvu za kuzipata hizo pesa.

Nipe na mimi majibu inbox basi nikae nayo maana naona mnara unaload tu hapa soon network itatiki...
 
naomba tu uzimaa tujaaliwe lakini akitimiza mitatu inshaallah ataanza tu

wee sjaielewa hio para ya pili majibu ya nn tenaa
 
Majibu=jina kabla hajazaliwa.

Haya ndio majibu ulikuwa nayo mfukoni ikapelekea kutunyima sisi kupendekeza jina
 
Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya WIlaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao hawana kweli????

Wizara ya Afya chini ya Doroth Gwajima na Mollel mjitathmini mnapo simama majukwaani na kujinadi kwamba mnatoa huduma ya kina Mama wajawazito bure, nilicho kifanya mimi kwakuwa nilikuwa naelekea Arusha nikaambiwa kuwa mdada anajifungua ambaye ni ndugu nilimpa sh elf6 ya Pamba, Gloves elf 1, Dawa za kuongeza damu elf 4,000 nikaambiwa kwakuwa siku zake bado kidogo anunue dawa zimsaidie mtoto asitoke kabla siku hizo chache anasubiri dawa Hawana zinauzwa elf15 x 3 sasa nikampa hela akaenda kununua.

Hivi Serikali haya maneno yenu kuhusu huduma bure kwa wajawazito iko wapi, ni hapa Wilaya ya Hai tu au na kwingine. Sasa nakumbuka mnavyo jinadi mnasema mnalipa watu Pensheni huku mnakwepa kuzungumzia Mafao ya walio na mwaka hawajalipwa wakiwemo Askari Polisi. Tunako kwenda Mtakubali tu kwamba mmezidiwa sera hazifanyi tena kazi.
Hakuna utaratibu wa namna hii kwenye Hospitali ya wilaya ya Hai
kama ni mtumishi mmoja aliongea kwa interest zake mwenyewe sio Hospitali na ungepata Jina lake ingekua vizuri zaidi kwa ajili ya ufuatiliaji na kukomesha suala hili
 
Na siku ya kujifungua ukitaka huduma nzuri pia shikisha nurse ata efu10 tena
Bahati nzuri nimeshamaliza kuzaa.Ila nawaonea huruma wapiga kura wa kike ambao wapo rika la kuzaa wanaotegemea maneno ya wana siasa kuwa huduma ni bure.
Vifaa siyo kama hakuna ila MSD wanasambaza kila baada ya miezi3 au 4,wajawazito ni wengi wanaohitaji huduma.
 
Ukiendekeza siasa hii nchi utakufa..
Kwa experience yangu hakuna huduma inayotolewewa bureee kabisa.. labda kupima HIV..

Ukiwa na mgonjwa hata kama ni mtoto wa miezi miwili. Andaa pesa yako ya kutosha tu kwa ajili ya matibabu la sivyo mwanao atakufa
Kweli kabisa
 
Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya WIlaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao hawana kweli????

Wizara ya Afya chini ya Doroth Gwajima na Mollel mjitathmini mnapo simama majukwaani na kujinadi kwamba mnatoa huduma ya kina Mama wajawazito bure, nilicho kifanya mimi kwakuwa nilikuwa naelekea Arusha nikaambiwa kuwa mdada anajifungua ambaye ni ndugu nilimpa sh elf6 ya Pamba, Gloves elf 1, Dawa za kuongeza damu elf 4,000 nikaambiwa kwakuwa siku zake bado kidogo anunue dawa zimsaidie mtoto asitoke kabla siku hizo chache anasubiri dawa Hawana zinauzwa elf15 x 3 sasa nikampa hela akaenda kununua.

Hivi Serikali haya maneno yenu kuhusu huduma bure kwa wajawazito iko wapi, ni hapa Wilaya ya Hai tu au na kwingine. Sasa nakumbuka mnavyo jinadi mnasema mnalipa watu Pensheni huku mnakwepa kuzungumzia Mafao ya walio na mwaka hawajalipwa wakiwemo Askari Polisi. Tunako kwenda Mtakubali tu kwamba mmezidiwa sera hazifanyi tena kazi.
DMO huko Hai ni komeo
 
Back
Top Bottom