mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 765
Kuanzia 1.7.21 kuna halmashuri wa mama wajazito wanalipia huduma za kuanza clinic na vipomo vyote vya muhimu isipokuwa Hiv na mrdt ndio bure.Na stakabadhi ya malipo unapewa.mimi nilijifungua 2019 nilinunua vifaa kibaya zaidi huu mwaka 2021 ukianza na clinic unalipia vizuri sana na kila hospital ziko na gharama zake
Yaani tukishambiwa bure basi tunajisahau kila kitu tuna tupewe na serikali,wakati kabla ya kujifungua huwa tunanunua hizo pedi.Ukiangizwa pamba hiyo ni matumizi ya mzazi maana kipindi hicho pedi huwa hazisaidii.Shida watz hawajiongezi... Wanataka hata hizo pamba za kufunga kama pedi baada ya kujifungua eti serikali nayo itoe.
ndio hili lipoKuanzia 1.7.21 kuna halmashuri wa mama wajazito wanalipia huduma za kuanza clinic na vipomo vyote vya muhimu isipokuwa Hiv na mrdt ndio bure.Na stakabadhi ya malipo unapewa.
Siyo kujipanga tu wenyewe wauguzi wanaita mpango wa kujifunga.Ni kawaida hiyo mkuu.....yaani mimba uweke wewe halafu serikali ndio imuhudumie mkeo wakati wa kujifungua.......nini maana ya neno" kujipanga"
Bila shaka ww ni mtu wa afya, sera ya serikali kuhusu wajawazito inasemaje? Je hivyo vitu umetaja hapo ni kwa hospitali zote za serikali?Siyo kujipanga tu wenyewe wauguzi wanaita mpango wa kujifunga.
Nilikuwa na hudhuria clinic ya kata kwa mimba ya mtoto wangu 1.
Muuguzi alikuwa anafundisha maandalizi ya kujifungua kwa ufasaha sana ila wamama wengine wazembe wanategemea bure.
1.ndoo ndogo ya plastic
2.mpira wa kutandika kitandani
3.doti za kanga na vitenge zilizotumika siyo mpya.
4.pesa ya akiba ya usafiri wa kukufisha hosp
5.msaidizi wa karibu ikifika muda wa kujifungua.
6.mipira (gloves pair 2 au 3)
7.cord tie 1 hivi ni akiba ikitokea hosp hakuna wanatumia ulivyoenda navyo.
Kama vipo wanatumia vya kwao.
Sasa elimu yote tena mahudhurio siyo chini ya 6 bado tu mtu hujajipanga unasubiria bure.
Tena kama hizo ndoo na mipira ya kitanda ukishajifungua unarudi navyo nyumbani,hii ni kwa faida ya mama kuepusha baadhi ya maambukizi lkn bado tunataka bure dah!!!muda mwengine wananchi tujiongezee siwaamini sana wana siasa.
Ivo vifaa naskia ukishika nurse mkono anakupea vyoote...Bahati nzuri nimeshamaliza kuzaa.Ila nawaonea huruma wapiga kura wa kike ambao wapo rika la kuzaa wanaotegemea maneno ya wana siasa kuwa huduma ni bure.
Vifaa siyo kama hakuna ila MSD wanasambaza kila baada ya miezi3 au 4,wajawazito ni wengi wanaohitaji huduma.
Baadhi ya huduma ni bure ujue kama wanavosema wanasiasa...mfano gloves, syringe, dawa zile wanazochoma baada ya kujifungua, viwembe, vinatakiwa kuwa hospital bana! Nimekuwa nikitumia nchi jirani kujifungua yaan wanavosema huduma ya mama na mtoto ni bure wanamaanisha kabisa! Huwazi kununua chochote na hakuna usumbufu kama huo mjamzito anafanya maandalizi ya kwake na mtoto tu labda nguo za mtoto na vya mama kujistiri tu!Siyo kujipanga tu wenyewe wauguzi wanaita mpango wa kujifunga.
Nilikuwa na hudhuria clinic ya kata kwa mimba ya mtoto wangu 1.
Muuguzi alikuwa anafundisha maandalizi ya kujifungua kwa ufasaha sana ila wamama wengine wazembe wanategemea bure.
1.ndoo ndogo ya plastic
2.mpira wa kutandika kitandani
3.doti za kanga na vitenge zilizotumika siyo mpya.
4.pesa ya akiba ya usafiri wa kukufisha hosp
5.msaidizi wa karibu ikifika muda wa kujifungua.
6.mipira (gloves pair 2 au 3)
7.cord tie 1 hivi ni akiba ikitokea hosp hakuna wanatumia ulivyoenda navyo.
Kama vipo wanatumia vya kwao.
Sasa elimu yote tena mahudhurio siyo chini ya 6 bado tu mtu hujajipanga unasubiria bure.
Tena kama hizo ndoo na mipira ya kitanda ukishajifungua unarudi navyo nyumbani,hii ni kwa faida ya mama kuepusha baadhi ya maambukizi lkn bado tunataka bure dah!!!muda mwengine wananchi tujiongezee siwaamini sana wana siasa.
Wewe ulitaka ajifungue buree. Fanya maandalizi from the day unawaza kumbebesha mkeo ujauzito.Wanasiasa wachonganishi sana wanatangaza huduma kwa mama mjamzito kuanzia clinic ni bure.
Mama mjamzito akianza clinic kwanza kabisa akatoe photocopy ya kadi then mambo mengi yaendelee.kupima VVU,fetalheart,umri wa mimba na mrdt hivyo bure kabisa.
Hb,mkoja wa kutambua protein na sukari,kaswende hivyo mama lazima na siyo chini ya elfu 15-20.
Bado siku ya kujifungua vifaa vichache wanaojifungua ni wengi hapo ndio unapokuja mtihani.Mwisho wa siku waganga na wauguzi wanatupiwa lawama.
Mhimbili ni Hospitali ya serikali hawafanyi hivyo na hospitali zingine za serikali kwanini Hawafanyi kama Muhimbili au kna madaraja kwenye hizi hospitali
Ninasikitika sana kwaNimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya WIlaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao hawana kweli????
Wizara ya Afya chini ya Doroth Gwajima na Mollel mjitathmini mnapo simama majukwaani na kujinadi kwamba mnatoa huduma ya kina Mama wajawazito bure, nilicho kifanya mimi kwakuwa nilikuwa naelekea Arusha nikaambiwa kuwa mdada anajifungua ambaye ni ndugu nilimpa sh elf6 ya Pamba, Gloves elf 1, Dawa za kuongeza damu elf 4,000 nikaambiwa kwakuwa siku zake bado kidogo anunue dawa zimsaidie mtoto asitoke kabla siku hizo chache anasubiri dawa Hawana zinauzwa elf15 x 3 sasa nikampa hela akaenda kununua.
Hivi Serikali haya maneno yenu kuhusu huduma bure kwa wajawazito iko wapi, ni hapa Wilaya ya Hai tu au na kwingine. Sasa nakumbuka mnavyo jinadi mnasema mnalipa watu Pensheni huku mnakwepa kuzungumzia Mafao ya walio na mwaka hawajalipwa wakiwemo Askari Polisi. Tunako kwenda Mtakubali tu kwamba mmezidiwa sera hazifanyi tena kazi.
Waziri wa Afya na Naibu wake wahusika vp au hujui kwamba hizo Hospitali za Wilaya zinasimamiwa na TAMISEMI? Fatilia ujue Mifumo ya Serikali inavyofanya kazi. Acha kukurupukaMimi wanagu wote walizaliwa Marekani siwezi zaa kwa sasa huyo mtoto ni wa ndugu flan hivi nimempa hela akanunue
Unataka wale wapi ......wafundisheKuna baadhi ya ma dr na ma nurse ktk hospitali za serikali wamejigeuza waungu watu wanakula CCD( chakula cha daktar) sana kutoka kwa wagonjwa hii sio fair
Ndio nashangaa labda Tanzania ziko nyingi si hii kona ninamoishiMbona laki ndogo kwingine zinaenda zaidi ya laki2
πππ Tena hapo umesahau na beseni, ile nailoni nzito ya kutandikia wakat mama anajifungua, ππ mkuu bana ndio UANAUME huo,Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya WIlaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao hawana kweli????