Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Sasa wanalia Nini hali wao ndio waliwachokoza nyuki
Screenshot_20231011-072707.png
 
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
 
Iv iyo gaza ni mji wa namna gani!? Bila shaka mapigano yalianza kitambo sana sasa utakuta bado kuna watu wanaendaga bank kuchukua mikopo kuwekeza huko!sema hii vita tuwaachie tu wenyew maana kila nikitaka kuielewa huwa naishia njiani!
 
Dunia imeipa mgongo palestina na kumuacha Israeli aendelee kufanya mauaji ya Kimbari.
Duh wewe si ulikuwa ukifungua nyuzi za kufurahia mauaji ya HAMAS na kuutangaza udhaifu wa Israel? Imekuwaje tena unakuja kinyonge namna hii?

Mwana kulifind mwana kuliget. Msiisumbue dunia. Kama ilivyokuwa kimya wakati hao HAMAS wanafanya shambulizi na hamkuhoji ukimya huo, acha iendelee kuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom