Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Iv iyo gaza ni mji wa namna gani!? Bila shaka mapigano yalianza kitambo sana sasa utakuta bado kuna watu wanaendaga bank kuchukua mikopo kuwekeza huko!sema hii vita tuwaachie tu wenyew maana kila nikitaka kuielewa huwa naishia njiani!
Duh wewe si ulikuwa ukifungua nyuzi za kufurahia mauaji ya HAMAS na kuutangaza udhaifu wa Israel? Imekuwaje tena unakuja kinyonge namna hii?
Mwana kulifind mwana kuliget. Msiisumbue dunia. Kama ilivyokuwa kimya wakati hao HAMAS wanafanya shambulizi na hamkuhoji ukimya huo, acha iendelee kuwa hivyo.