Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Sijui jinsi ya ku mention mtu hapa....Tuitieni Mheshimiwa Dr Dorothy atupelekee hili huko juu.
Waziri wa afya nadhani anayaju hayaPole Kwakuwa Umeitaja Hospital Sasa Waziri Ummy Hili Lako Sasa Tupate Majibu
Hapo Wanafanya Jeuri Wakati Wanajua Wazi Unatumia Bima Hutakiwi Kulipa
siku uoga ukiaisha ndio mtaanza kula meema ya hii nchi. Mbowe akisema tuandamane hata maandamaano ya amani hamtoki, kazi kuja kulia lia kwenye mitandao. Sikiliza hawa watawala sio wajinga walisha wasoma wakajua kwanza nyie ni waoga sana so haya yote wanayafanya wakiwa na ngao yao ambayo ni uoga wenu.Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
itasaidia nini? Sikiliza hawa watala Bila mass action hakina kitu kitakacho badilika. Hii sijji nani apeleke huko juu ni element za uoga tupu.Tuitieni Mheshimiwa Dr Dorothy atupelekee hili huko juu.
Unazania wanafanya bila kuwa na Backup? Raia mtalalamika hadi siku ya kiama. Watawala kuna njia moja ya kuwafundisha somo nayo ni nguvu ya umma. Huu mdwaada tangu mwanzo ulikuwa wa hovyo yangaitishwa maandamani ya kuuoinga hakuna mtu angetoka Barabarani.Pole Kwakuwa Umeitaja Hospital Sasa Waziri Ummy Hili Lako Sasa Tupate Majibu
Hapo Wanafanya Jeuri Wakati Wanajua Wazi Unatumia Bima Hutakiwi Kulipa
Daktari hawezi kuandika dawa isiyokuepo kwenye bima katika karatasi ya bimaKuna baadhi ya dawa hazipo kwenye bima
Hii ni sabotageHabari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Unataka niandike kila kitu nijivue nguo na bado mgonjwa wangu yupo hoi kitandani kwao??Hospitali ya Wilaya ya Mkoa wa Kagera? Iweke vizuri Mkuu kama ya Rufaa ya Mkoa au ya Wilaya ipi?
Lini, na ni Dawa gani hiyo ambazo zote hukupewa ila wa cash akapewa?
Wanasiasa wanataka wabaki wao na watoto wao!!Hii ni sabotage
Unataka hospitali inunue dawa kwa 500/=, halafu iwauzie NHIF kwa sh. 200/= kwani hapo ni akili kweli?Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Hizo zilizoondolewa hazijawekwa mbadala wake?Hukuuona ule mkeka wa dawa zilizoondolewa kwenye vitita vya NHIF?
Dawa zipo ila hazipo kwenye vitita vya NHIF ndiyo maana wa kulipia wanapewa.
Mbowe babu yako..!siku uoga ukiaisha ndio mtaanza kula meema ya hii nchi. Mbowe akisema tuandamane hata maandamaano ya amani hamtoki, kazi kuja kulia lia kwenye mitandao. Sikiliza hawa watawala sio wajinga walisha wasoma wakajua kwanza nyie ni waoga sana so haya yote wanayafanya wakiwa na ngao yao ambayo ni uoga wenu.