DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
siku uoga ukiaisha ndio mtaanza kula meema ya hii nchi. Mbowe akisema tuandamane hata maandamaano ya amani hamtoki, kazi kuja kulia lia kwenye mitandao. Sikiliza hawa watawala sio wajinga walisha wasoma wakajua kwanza nyie ni waoga sana so haya yote wanayafanya wakiwa na ngao yao ambayo ni uoga wenu.
👍👌👏👊🤝🙏🆒🛡️
 
Money traffic isharud tanzania mama ni mkali ila sio mkali. kama magufuli alikuwa mkali zaidi ila mama anaweza kusema kamcheki huyu huyu ili apate heshima jipu kubwa alitumbue linalojaa tanzania nzima jipu kubwa kama spider halafu a deal na utandu wa juu wa roof
 
Kuna jambo la kujifunza kwenye hili pia. Tuamke!

Swali la Msingi; Tunomba tuambiwe Hospitali ya Mzena wanaostahili kutibiwa ni akina nani na Je, inapokea Bima ya NHIF?
 
Unataka niandike kila kitu nijivue nguo na bado mgonjwa wangu yupo hoi kitandani kwao??

Kuwa serious mkuu!! Hospital za serikali za wilaya ni chache saana mkoa wa Kagera. So kama ni ifuatiliaji ni mwepesi kwa serikali. Nimeuliza na wilaya jirani wakanambia mwendo ni hulehule
Sasa umekuja kulalamika nini huku si heri ufe na mgonjwa wako kama hata kutaja hospitali unaogopa,unadhani wahusika watafikiwaje moja kwa moja?
 
Back
Top Bottom