tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Jubilee ni bei gani mkuu?Kutumia NHIF ni umasikini dadeki! Tafuta hela kata jubilee uache makasiriko ya ajabu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jubilee ni bei gani mkuu?Kutumia NHIF ni umasikini dadeki! Tafuta hela kata jubilee uache makasiriko ya ajabu mkuu
Sio wizara ya afya hili?Tuitieni Mheshimiwa Dr Dorothy atupelekee hili huko juu.
Hivyo ni kweli kabisa ukienda na bima kwenye government hospital hupati dawa,unaambiwa ukanunue..Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Mleta mada atabishaKuna baadhi ya dawa hazipo kwenye bima
Kwa Sasa bima ni kikaratasi tu hakina msaada tena kama ilivyokuwa kifupi tunaishukuru serikali kwa hii mass assassin
Yani daktari aandike dawa mfano paracetamol kwenye fomu ya bima!,halfu ukiipeleka pale pharmacy Wanakuambia dawa hamna,ila ambaye ameandikiwa dawa hiyo hiyo lakini kama amelipia cash dawa anaambiwa ipo?Daktari hawezi kuandika dawa isiyokuepo kwenye bima katika karatasi ya bima
Sijajua lini tutaamka hata tujue kudai maji TU ya kunywa imagine hiki kilichofanyika ni hatari mno hela inaendelea kukatwa huduma pekee utapewa na bima ni kumuona daktari na Diclofenac Kisha unaona mtu anaongelea mafanikio ya awamu ya Sita 🤔🤔🤔🤔anyway tuendelee kuishiMauaji ya sharubela🔥
Kama wanagoma twende hospitali binafsi wakuu. Mm sikumbuki kwa mara ya mwisho ni llini nilitibiwa kwenye hopsitali ya serikaliHabari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Halafu kuna wapumbavu humu walikuwa wanapiga propaganda za kipuuzi kwamba hospitali binafsi zilikuwa zinafanya fraud na kuwa wamebanwa ndio maana hawatoi huduma kwa wenye kadi za NHIF .Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Sasa ina maana gani kuwa na Bima ya afya ya NHIF ?Hukuuona ule mkeka wa dawa zilizoondolewa kwenye vitita vya NHIF?
Dawa zipo ila hazipo kwenye vitita vya NHIF ndiyo maana wa kulipia wanapewa.
Yule mdada katili kuliko wote Tz kwa sasa anasemaje kuhusu hili? Au yupo kwenye mazungumzo na wamiliki wa Hospitali za serikali?Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Jubilee ni bei gani mkuu?
Kwani mkipewa dawa hamtakufa wote? Ni suala la muda tuHabari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Acha kuchangia tuNatafuta namna ya kutoka NHIF, anayejua procedures