Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilaya ya mkoa wa Kagera,Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Tuandikie ni dawa gani hizo walizogoma kukupa.Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Anaandika kama haipo unaambiwa ukanunue siyo madaktari wote wanajishughulisha kujua ipi ipo kwenye bima na ipi hamna.Daktari hawezi kuandika dawa isiyokuepo kwenye bima katika karatasi ya bima
Upo sahihi.Anaandika kama haipo unaambiwa ukanunue siyo madaktari wote wanajishughulisha kujua ipi ipo kwenye bima na ipi hamna.
Kwanza nianze kumshukuru Mama Samia kwa kunipa huu wasaha wa kuchangia hii mada!Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Kutumia NHIF ni umasikini dadeki! Tafuta hela kata jubilee uache makasiriko ya ajabu mkuuHabari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Kwahiyo Anasupaza Shingo YakeWaziri wa afya nadhani anayaju haya
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Kuna mbadala wa syringe na cotton wool hospitalini?Hizo zilizoondolewa hazijawekwa mbadala wake?
mkuu hilo la pamba na sindano, najua... ishu yangu ni hizo dawa mbadala wake..Kuna mbadala wa syringe na cotton wool hospitalini?
Ufafanuzi uliotolewa ni siasa tu kama mkeka wa mbadala upo si wautoe badala ya kupiga porojo
Mkifanya mzaha mtakufa kweliHabari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Hivi umeelewa kweli? Kakwambia dawa ameandikiwa na Dr. akienda durisha la dawa anaambiwa dawa imeisha ila mgonjwa mwingine akienda na cash anauziwaKuna baadhi ya dawa hazipo kwenye bima