DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
👍👌👏👊🤝🙏🆒🛡️
 
Money traffic isharud tanzania mama ni mkali ila sio mkali. kama magufuli alikuwa mkali zaidi ila mama anaweza kusema kamcheki huyu huyu ili apate heshima jipu kubwa alitumbue linalojaa tanzania nzima jipu kubwa kama spider halafu a deal na utandu wa juu wa roof
 
Kuna jambo la kujifunza kwenye hili pia. Tuamke!

Swali la Msingi; Tunomba tuambiwe Hospitali ya Mzena wanaostahili kutibiwa ni akina nani na Je, inapokea Bima ya NHIF?
 
Sasa umekuja kulalamika nini huku si heri ufe na mgonjwa wako kama hata kutaja hospitali unaogopa,unadhani wahusika watafikiwaje moja kwa moja?
 
Sasa umekuja kulalamika nini huku si heri ufe na mgonjwa wako kama hata kutaja hospitali unaogopa,unadhani wahusika watafikiwaje moja kwa moja?
Karibu msibani boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…