Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

Kama upo dar nenda Aghakan hospital , harafu ulinganishe na uchafu wa mloganzila au Muhimbili,
Yaani wewe unaita Muhimbili uchafu kulinganisha na Aga Khan? Aga Khan hii ya Obama Avenue au ya India?
 
Haya mahospitali ni mabalaa na mikosi tu, yanafaa yakose wagonjwa, ugonjwa ni hali mbaya kiafya kwa mtu ni karibu na kifo. Sasa nani anataka kufa?
Hospitali zinazotangaza zinachuria watu waumwe na wazidiwe ili zipate wagonjwa.SAD
 
Hata magereza nazo zinatakiwa zikose wafungwa. Mahakama zikose washitakiwa, mahakimu, majaji, polisi na askari magereza waendelee kulipwa bure. Magereza ziwe tupu asiwepo wa kushitakiwa na kufungwa gerezani
 
tusiwe na polisi maana hatuna wahalifu, tusiwe na walinzi maana hakuna wezi.
 
Back
Top Bottom