Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 29, 2024 #41 RRONDO said: Thread kama hizi ukisoma comments ndio utajua upeo wa Watanzania. Click to expand... Kuna watu kukausha na kujifunza hawawezi. Lazima either wabishe au wasupport chochote.
RRONDO said: Thread kama hizi ukisoma comments ndio utajua upeo wa Watanzania. Click to expand... Kuna watu kukausha na kujifunza hawawezi. Lazima either wabishe au wasupport chochote.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 May 29, 2024 #42 JUAN MANUEL said: Kama upo dar nenda Aghakan hospital , harafu ulinganishe na uchafu wa mloganzila au Muhimbili, Click to expand... Yaani wewe unaita Muhimbili uchafu kulinganisha na Aga Khan? Aga Khan hii ya Obama Avenue au ya India?
JUAN MANUEL said: Kama upo dar nenda Aghakan hospital , harafu ulinganishe na uchafu wa mloganzila au Muhimbili, Click to expand... Yaani wewe unaita Muhimbili uchafu kulinganisha na Aga Khan? Aga Khan hii ya Obama Avenue au ya India?
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 May 29, 2024 Thread starter #43 peno hasegawa said: Jina la hii clinic tafadhali Click to expand... Shilole anajua
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 May 29, 2024 Thread starter #44 LOTH HEMA said: Haya mahospitali ni mabalaa na mikosi tu, yanafaa yakose wagonjwa, ugonjwa ni hali mbaya kiafya kwa mtu ni karibu na kifo. Sasa nani anataka kufa? Click to expand... Hospitali zinazotangaza zinachuria watu waumwe na wazidiwe ili zipate wagonjwa.SAD
LOTH HEMA said: Haya mahospitali ni mabalaa na mikosi tu, yanafaa yakose wagonjwa, ugonjwa ni hali mbaya kiafya kwa mtu ni karibu na kifo. Sasa nani anataka kufa? Click to expand... Hospitali zinazotangaza zinachuria watu waumwe na wazidiwe ili zipate wagonjwa.SAD
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 May 29, 2024 #45 Hata magereza nazo zinatakiwa zikose wafungwa. Mahakama zikose washitakiwa, mahakimu, majaji, polisi na askari magereza waendelee kulipwa bure. Magereza ziwe tupu asiwepo wa kushitakiwa na kufungwa gerezani
Hata magereza nazo zinatakiwa zikose wafungwa. Mahakama zikose washitakiwa, mahakimu, majaji, polisi na askari magereza waendelee kulipwa bure. Magereza ziwe tupu asiwepo wa kushitakiwa na kufungwa gerezani
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 May 30, 2024 Thread starter #46 LOTH HEMA said: Hata magereza nazo zinatakiwa zikose wafungwa. Mahakama zikose washitakiwa, mahakimu, majaji, polisi na askari magereza waendelee kulipwa bure. Magereza ziwe tupu asiwepo wa kushitakiwa na kufungwa gerezani Click to expand... tusiwe na polisi maana hatuna wahalifu, tusiwe na walinzi maana hakuna wezi.
LOTH HEMA said: Hata magereza nazo zinatakiwa zikose wafungwa. Mahakama zikose washitakiwa, mahakimu, majaji, polisi na askari magereza waendelee kulipwa bure. Magereza ziwe tupu asiwepo wa kushitakiwa na kufungwa gerezani Click to expand... tusiwe na polisi maana hatuna wahalifu, tusiwe na walinzi maana hakuna wezi.