Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

Na ndio maana siku hizi kuna resistance ya antibiotics nyingi sana sababu kuu ndio hiyo ya kumpa mtu dawa kama unampa pipi upuuzi mwingi sana unafanyika kwenye hizi hospital za private,usiombwe ulazwe Sasa hiyo bei utakayopigwa utabaki umeduwaa
 
Zamani bi mdogo alinambia ukitaka huduma bora nenda hospital ya umma(labda kwa sababu ni mtumishi huko), by then sikumuelewa mpaka nilipoingia kwenye hizi fields
Sema sasa “quality” ni general term kila mtu anaitafsiri kwa maono yake
 
Na ndio maana siku hizi kuna resistance ya antibiotics nyingi sana sababu kuu ndio hiyo ya kumpa mtu dawa kama unampa pipi upuuzi mwingi sana unafanyika kwenye hizi hospital za private,usiombwe ulazwe Sasa hiyo bei utakayopigwa utabaki umeduwaa
Kuna nyingine ipo Mikocheni iyo kumuona docta ni elfu 25,kulazwa kwa siku elfu 50......kazi iendelee
 
Kwani wakala Wa Vipimo hushughulika pia kwenye calibration za vipimio vya Mahospitali? Siyo Mauzito na maujazo pekee?
 
Duuuh,Wauaji sana hao
 
Wewe unataka kumuona specialist kwa elfu 1000? Labda clinical assistant
Kwani specialist nini bwana, mimi ni specialist lakini hata bure unaweza kuniona..............unakuwa specialist ili uwahudumie watu kwa maarifa ya kiwango cha juu siyo ulipwe pesa nyingi. Haya mambo ndo yanafanya watu wanashindwa kuhimili gharama za matibabu hospitali wanakimbilia kwenye miti shamba. Kwa case ya huyu mleta mada yeye tayari ameshalipia kumwona daktari na vipimo nk. iweje apigwe tena cha juu kwenye dawa? acheni ku complicate mambo utafirkiri nyinyi hamtaugua wala kufa......
 
Nakwambia mimi hapa ndipo nilijua umuhimu wa BIMA. siku hizi ukiwa na BIMA hata gharama huonyeshwi wewe mwisho unasign kwa digital pen unasepa.
 
Sasa hapo mbona ndio unaongezewa ugonjwa baadala ya kutibiwa
 
Kwani wakala Wa Vipimo hushughulika pia kwenye calibration za vipimio vya Mahospitali? Siyo Mauzito na maujazo pekee?
Kama hawafiki huko hao mawakala basi kuna tatizo. Hilo eneo siyo la kuachwa kujiendesha lenyewe hata kidogo.
 
Kuna siku dogo tumempeleka akapimwa malaria , sasa tulipoenda kuchukua majibu Dr akatuandikia dawa, nikamuuliza hii dawa ya nn na hii ya nn? Akasema hii ya malaria, ya maumivu na hii ya UTI nikashtuka kwani huyu si kapimwa malaria tu !!! Nikamuuliza hii UTI imetoka wap na hamjapima mkojo? Akasema sorry nimekosea hapa dah hawa jamaa wapo kibiashara tu..

Kuna kipindi dengue illizingua sana watu mwaka juz kama sikosei, mimi ni miongoni mwa wagonjwa wa mwanzo kabisa tena vipimo vya dengue vilikuwepo hospital baadh kama muhimbili na hospital binafsi chache tu zile kubwa, sasa mimi niliumwa sana nikazidiwa nikapelekwa hospital fulan kufika pale nikapimwa vipimo vyote wakasema UTI kali sana na malaria ila mimi nililazwa walionipeleka ndo waliambiwa hivo, sasa nikalazwa pale mpka saa 4 usiku nikaona na nafuu kidogo wakaniruhusu wakasema natakiwa Sindano 5 nirudi asubui.

Kesho nikarud kuchoma ila bado naumwa tu , baada ya siku mbili nilizidiwa zaidi,, tukasema twende hospital nyingine tukaenda kkoo kuna hospital fulan ya waarabu magomen , tukaeleza pale wakatuomba ile karatasi ya kule nilipotoka wakaangalia nikafanyiwa vipimo tena, wakasema nilichoandikiwa pale nitofauti na ninachoumwa, ugonjwa unaniosumbua ni dengue!!!

Wakasema hospital zenye vipimo vya dengue ni chache sana kwahyo watu wengi wanaumwa ila wakienda hospital hivo vipimo havipo wanaambiwa tu una malaria au UTI, kulikua na wagonjwa wengi sana pale wa dengue wanapokezana vitanda, ule ugonjwa hauna dawa wanachofanya wanakuwekea tu drip 2 asubui na jion 2 kama siku 5 unakuwa fresh, yaan kuanzia hapo hospital za kijnga huwa siendi kabisa, mtu unachomwa sindano za UTI alafu haumwi UTI
 
Sasa si wanaweza kukuua hawa, bahati nzuri uliwahi kuhama ungebaki hali ingezidi kuwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…