Basi ajiepushe kutoa matamko yanayoingilia taaluma.Hicho nicheo Cha kisiasa mkuu , taaluma haina nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ajiepushe kutoa matamko yanayoingilia taaluma.Hicho nicheo Cha kisiasa mkuu , taaluma haina nafasi
Wajenge na kuajiri madaktariFacilities na uhalisia wa kimazingira unaruhusu?
Wana kazi ya kutoa maagizo huku mambo yenyewe yapo ovyo ovyo. Akimaliza hapo anapanda zake V8 yake yenye kiyoyozi anaenda kulala.
Watajenga saa ngapi vya kwao endapo wakianza kujengea wananchi.Wajenge na kuajiri madaktari
Tulishauri Wizara ya afya iongozwe na wataalamu wa afyaView attachment 3075700
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU
Na WAF - Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.
Waziri Jenista amesema hayo leo Agosti 20, 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) ili kuona hali ya utoaji wa huduma sambamba na kuongea na watumishi waliopo Hospitalini hapo.
Amezitaka Hospitali zote nchini na kuziagiza kuzingatia mzunguko wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa na kuhakikisha mzunguko huo unatumia masaa ya kitaalamu ambayo hayazidi masaa matatu kwa kila mgonjwa na kupunguza muda wa wagonjwa kukaa hospitali kusubiri huduma.
“Mgonjwa anapofika katika kituo cha afya au Hospitali asianze kuwaza ameenda kukaa sehemu hiyo kwa siku nzima na hivyo kusitisha shughuli zake nyingine, zingatieni mzunguko mzima wa utoaji huduma kwa wagonjwa kwa kuzingatia muda wa utaalam usiozidi masaa matatu". Amesema Waziri Mhagama.
Ameongeza kuwa muda huo ni kuanzia mgonjwa anapofika hospitalini kwa kuanza kujiandikisha, kumuona daktari, wakati anapatiwa matibabu na kupatiwa dawa kwamba mzunguko huo wa mgonjwa usizidi masaa matatu.
Ili kufanikisha hilo Waziri Mhagama amesisitiza uwepo wa matumizi ya TEHAMA pamoja mifumo kusomana ikiwa njia ndiyo njia pekee ya kuokoa muda na kutoa huduma bora kwa mgonjwa ikiwa ni sehemu ya kupunguza malalamiko ya mara kwa mara.
“Matumizi ya Tehama yatasaidia na kurahisisha mifumo ya matibabu na taarifa za mgonjwa kufanana na pia hata kurahisisha huduma kwa mgonjwa wakati atakapokuwa yupo hospitalini anatibiwa”. Amesema Waziri Mhagama.
Kwa upande mwingine, Waziri Mhagama wamewataka watumishi wa afya kuwa na lugha ya staha wanapohudumia mgonjwa kwani lugha nzuri ni kichocheo kimojawapo cha kumpa ahueni mgonjwa na kujisikia vizuri.
Halikadhalika, amewahakikishia watumishi wa afya nchini kushirikiana nao ili kuweza kuhakikisha huduma bora za afya zinaendelea kutolewa kwa wananchi na mtumishi yeyote mwenye shida ya kumuona milango iko wazi.
Je, hospitali zetu zina uwezo huu?
Be positiveHuyo waziri anachekesha walionuna.
30 mbona wachache?Masaa matatu si rahisi.
Unakuta Dr. Mmoja anaona wagonjwa hata 30 wa clinic kwa siku moja.
Kila mgonjwa akitumia dakika 10 kwa Daktari.
Kama wewe ulikuwa ni mgonjwa wa mwisho.
Hapo lazima utasubiri dakika 290 ili dr akuone
Hii ni sawa na karibia masaa matano.
Hapo sijaweka dakika za kwenye vipimo (maabara, utrasonography, x-rays ).
+ Pharmacy.
TUongeze wataalamu na vifaa vya kisasa.
Hii ni drama kama drama zingine.View attachment 3075700
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU
Na WAF - Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.
Waziri Jenista amesema hayo leo Agosti 20, 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) ili kuona hali ya utoaji wa huduma sambamba na kuongea na watumishi waliopo Hospitalini hapo.
Amezitaka Hospitali zote nchini na kuziagiza kuzingatia mzunguko wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa na kuhakikisha mzunguko huo unatumia masaa ya kitaalamu ambayo hayazidi masaa matatu kwa kila mgonjwa na kupunguza muda wa wagonjwa kukaa hospitali kusubiri huduma.
“Mgonjwa anapofika katika kituo cha afya au Hospitali asianze kuwaza ameenda kukaa sehemu hiyo kwa siku nzima na hivyo kusitisha shughuli zake nyingine, zingatieni mzunguko mzima wa utoaji huduma kwa wagonjwa kwa kuzingatia muda wa utaalam usiozidi masaa matatu". Amesema Waziri Mhagama.
Ameongeza kuwa muda huo ni kuanzia mgonjwa anapofika hospitalini kwa kuanza kujiandikisha, kumuona daktari, wakati anapatiwa matibabu na kupatiwa dawa kwamba mzunguko huo wa mgonjwa usizidi masaa matatu.
Ili kufanikisha hilo Waziri Mhagama amesisitiza uwepo wa matumizi ya TEHAMA pamoja mifumo kusomana ikiwa njia ndiyo njia pekee ya kuokoa muda na kutoa huduma bora kwa mgonjwa ikiwa ni sehemu ya kupunguza malalamiko ya mara kwa mara.
“Matumizi ya Tehama yatasaidia na kurahisisha mifumo ya matibabu na taarifa za mgonjwa kufanana na pia hata kurahisisha huduma kwa mgonjwa wakati atakapokuwa yupo hospitalini anatibiwa”. Amesema Waziri Mhagama.
Kwa upande mwingine, Waziri Mhagama wamewataka watumishi wa afya kuwa na lugha ya staha wanapohudumia mgonjwa kwani lugha nzuri ni kichocheo kimojawapo cha kumpa ahueni mgonjwa na kujisikia vizuri.
Halikadhalika, amewahakikishia watumishi wa afya nchini kushirikiana nao ili kuweza kuhakikisha huduma bora za afya zinaendelea kutolewa kwa wananchi na mtumishi yeyote mwenye shida ya kumuona milango iko wazi.
Je, hospitali zetu zina uwezo huu?
hii hapana kaka, kuna emergency case, urgent case, na kadhalika. lazima wagonjwa wafanyie triage kisha ndio tutajua yupi anahitaji huduma mwanzo zaidi kwa kadri ya case yake.Masaa matatu ni mengi sana kusubiria kumuona daktari tu, inatakiwa ndani ya nusu.
Anaewaamini wanasiasa akapimwe ubongo hasa ccmView attachment 3075700
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU
Na WAF - Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.
Waziri Jenista amesema hayo leo Agosti 20, 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) ili kuona hali ya utoaji wa huduma sambamba na kuongea na watumishi waliopo Hospitalini hapo.
Amezitaka Hospitali zote nchini na kuziagiza kuzingatia mzunguko wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa na kuhakikisha mzunguko huo unatumia masaa ya kitaalamu ambayo hayazidi masaa matatu kwa kila mgonjwa na kupunguza muda wa wagonjwa kukaa hospitali kusubiri huduma.
“Mgonjwa anapofika katika kituo cha afya au Hospitali asianze kuwaza ameenda kukaa sehemu hiyo kwa siku nzima na hivyo kusitisha shughuli zake nyingine, zingatieni mzunguko mzima wa utoaji huduma kwa wagonjwa kwa kuzingatia muda wa utaalam usiozidi masaa matatu". Amesema Waziri Mhagama.
Ameongeza kuwa muda huo ni kuanzia mgonjwa anapofika hospitalini kwa kuanza kujiandikisha, kumuona daktari, wakati anapatiwa matibabu na kupatiwa dawa kwamba mzunguko huo wa mgonjwa usizidi masaa matatu.
Ili kufanikisha hilo Waziri Mhagama amesisitiza uwepo wa matumizi ya TEHAMA pamoja mifumo kusomana ikiwa njia ndiyo njia pekee ya kuokoa muda na kutoa huduma bora kwa mgonjwa ikiwa ni sehemu ya kupunguza malalamiko ya mara kwa mara.
“Matumizi ya Tehama yatasaidia na kurahisisha mifumo ya matibabu na taarifa za mgonjwa kufanana na pia hata kurahisisha huduma kwa mgonjwa wakati atakapokuwa yupo hospitalini anatibiwa”. Amesema Waziri Mhagama.
Kwa upande mwingine, Waziri Mhagama wamewataka watumishi wa afya kuwa na lugha ya staha wanapohudumia mgonjwa kwani lugha nzuri ni kichocheo kimojawapo cha kumpa ahueni mgonjwa na kujisikia vizuri.
Halikadhalika, amewahakikishia watumishi wa afya nchini kushirikiana nao ili kuweza kuhakikisha huduma bora za afya zinaendelea kutolewa kwa wananchi na mtumishi yeyote mwenye shida ya kumuona milango iko wazi.
Je, hospitali zetu zina uwezo huu?
Niwe positive kwenye usanii!Be positive
Bado tutajitibu kienyeji....hizo saa tatu bado ni kizungumkuti...!View attachment 3075700

Ni hatua nzuriNiwe positive kwenye usanii!
Uwezo wanao, tena naamini wanaweza hata chini ya hapo, bila kuanza hivyo matatizo hayatojulikana. Jenista kawapa mwanzo mzuri.View attachment 3075700

[emoji7]View attachment 3075700

Wapambane tuUwezo wanao, tena naamini wanaweza hata chini ya hapo, bila kuanza hivyo matatizo hayatojulikana. Jenista kawapa mwanzo mzuri.
hapa nipo na Jenista. Nnamuunga mkono 100% kwa hilo.
Iliyobaki hospitali zishindane kushusha muda huo badala ya kuzubaa.
Nashauri, mkurugenzi wa hospitali iyoyaweza hayo, afinywe tu kimyakimya, muuwaji huyo.
Wavivu na magoi goi hamkosi sababu, ndio maana hapo unajifanya hujaelewa concern ya waziri unaokoteza okoteza tu vihoja.Hili ndiyo tatizo la kumpa uwaziri F6 failure asiyekuwa na chembe ya taaluma ya afya.
Hata hajui kuwa kuna mgonjwa anaweza kusubirishwa kwasabb kinyesi/mkojo wake unatakiwa, au sampuli zake zinatakiwa kufanyiwa culturing.
Jibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo.Wavivu na magoi goi hamkosi sababu, ndio maana hapo unajifanya hujaelewa concern ya waziri unaokoteza okoteza tu vihoja.