thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Wanafunzi ndio watapelekwa hiyo Ikulu ,una lingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli amehamia Dodoma kwa nini lile jengo la Ikulu ya zamani lisitumike kama kituo cha kushikilia wagonjwa wa korona kwa muda? Hizo hostel ni hatari kwa sababu wanafunzi watarudi kuishi humo
Sent using Jamii Forums mobile app