Hahahahahaujumbe mzuri, ila huyo punda alikuwa na umuhimu gani na hao wanajeshi hata wasimpige shaba au walau sindano ua usingizi wakati anaamka wao wamesha potea eneo hilo
Karantini si kwa wagonjwa wa corona tu bali kwa watuhumiwa wote wanaoweza kuwa wameambukizwa. Kwa mfano mtu uliyekuwa umekaa naye viti vya karibu karibu kwenye ndege; au afisa uhamiaji aliyekushughulikia hapo airport kama kulikuwa na kugusana, n.k. Taarifa zilizotolewa ni kwamba watu zaidi ya 200 waliwekwa karantini; lakini mpaka sasa ni 20 tu ndiyo wamepatikana na ugonjwa. Sasa hao 200+ watakaaje hapo Ikulu palipotarajiwa kukaa watu wachache tu? Tukirudi kwenye swali la msingi: hivi ni kwa nini unang'ang'ana hapo ndipo patumike kuwaweka karantini watuhumiwa wa ugonjwa; ukifahamu fika madhumuni ya nyumba ya ikulu? Na kwa nini siyo hostel ambayo iko wazi na inaweza kubadilishwa kimatumizi kwa haraka sana bila kuingia gharama kubwa?Kwani wagonjwa wa korona wako wengi mkuu? Majengo yote yale ya magogo yanshindwe kuhifadhi watu 1000?
Mungu saidia Tanzania.
Wanafunzi jiandae kisaiklojia kuambiwa chuo MPAKA mwakani.
7,800
Nakupata mkuu. Ndiyo maana nimeuliza lile jengo lote haliwezi kuhifadhi watu 1000? Magufuli hostel zinaweza kuhost watu wangapi?Karantini si kwa wagonjwa wa corona tu bali kwa watuhumiwa wote wanaoweza kuwa wameambukizwa. Kwa mfano mtu uliyekuwa umekaa naye viti vya karibu karibu kwenye ndege; au afisa uhamiaji aliyekushughulikia hapo airport kama kulikuwa na kugusana, n.k. Taarifa zilizotolewa ni kwamba watu zaidi ya 200 waliwekwa karantini; lakini mpaka sasa ni 20 tu ndiyo wamepatikana na ugonjwa. Sasa hao 200+ watakaaje hapo Ikulu palipotarajiwa kukaa watu wachache tu? Tukirudi kwenye swali la msingi: hivi ni kwa nini unang'ang'ana hapo ndipo patumike kuwaweka karantini watuhumiwa wa ugonjwa; ukifahamu fika madhumuni ya nyumba ya ikulu? Na kwa nini siyo hostel ambayo iko wazi na inaweza kubadilishwa kimatumizi kwa haraka sana bila kuingia gharama kubwa?
Nahisi karantin inatakiwa angalau ijitenge na makazi pia ukaribu wa watu kupita, niliwaza sana hivi yale majengo yapo kule Mbagala kuu ile barabara ya kutokea Kibada yanakazi gani kwa sasa? Kwanini karantin centres zisiwe huko pametulia na mbali na makazi ya watu.Kwanini serikali isiwaze kuweka huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah! Umenikumbusha crafteria ya hall 7 UDSM miaka ya 1990s sasa hivi ni madarasaKila jitihada inabd ifanyike ili kuhakikisha raia wanakuwa salama, suala la hosteli kugeuzwa matumizi halijaanza leo kuna memgine tunageuza kuwa madarasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya vyuo vilivyo fungua kabla ya kutangaza likizo ya corona walishapewa boom japo sio woteSipati picha wanachuo wangekuwa wamepewa boom halafu baada ya muda mfupi ndiyo serikali ikafunga vyuo. Maisha yangekuwaje vikifunguliwa vyuo
Uko sahihiKidume Magufuli ameikimbia Corona Dar, amejificha kwenye mawe huko.
Ikulu Magogoni ingependeza zaidi wawekwe huko, maana ilijengwa na wageni wenyewe/ mabeberu.
Si wasipokee hao wageni kutoka Nchi zilizoathirika ili kujilinda na kuzuia maambukizi....shida iko wapiWe ulitaka hiyo program iendeshewe wapi? Kwenye hotel mnalia ghalama sasa serikali ifanye nini? Kuhusu wanafunzi ondoa shaka kwani kabla hazijajengwa hizo walikuwa wanalala wapi? Pale kuna majengo mengi hawatakosa sehemu ya malazi
Asante kwa kumbukizi njema.Hahahah! Umenikumbusha crafteria ya hall 7 UDSM miaka ya 1990s sasa hivi ni madarasa
Kama uko Dar, wewe kesho zurura tu bila kazi maalum. Ukikamatwa ndio utajua utapelekwa wapi ili ukitoka huko utupe first hand information.Una hoja za hapa na pale boss. Ila kimsingi ukiangalia hili jambo ni kama serikali haina mbinu sahihi. Jana Makonda kaongea kwa nyodo, anasema watu watoke wakafanye kazi kwani watakufa kwa njaa. Leo anasema kuanzia kesho watakamatwa wote watakaoingia mjini kama hawana kazi maalumu, je umejiuliza hao watakaokamatwa watawekwa wapi? Je kama kuna mwenye maambukizi itakuwaje?