miss neddy twende kazi please
Miss neddy kakatikiwa internent kama hutajali mie nikuulize maswali? Mpaka atakaporudi hewani. SERIOUSLY! THE SHOW MUST GO ON!
Miss neddy kakatikiwa internent kama hutajali mie nikuulize maswali? Mpaka atakaporudi hewani. SERIOUSLY! THE SHOW MUST GO ON!
Okay fine haina shida... we niulize tu akija atakaimu nafasi yake
alafu internet inaboa yaani ikijua ni hot talk lazima izingue,aaagah mumy
Next week mleteni Le mutuz
Its Friday, its hot talk! Nawakaribisha
jukwaani mpate mavituuuuuuz,
mamboz ya ukweli kabisaaa.
Leo tunae HOE! Binti anaesifika kwa
mrengo wa kulia huyu! Leo tumebadili
upepo kidogo. Tumehama kidogo
mrengo wa kushoto tumehamia
mrengo wa kulia kutest zali. Pata
mambo.
Naomba niwashukur washiriki
waliopitia kiti hiki mpaka sasa ni @
Lara 1, angelita Tumboo na leo
tunae Sr. HOE. How better can it get?
Hahahaaaaaaaaaaaaa!
Hoe karibu kwenye bunsen burner.
Next week mleteni Le mutuz
Qn 2. Wewe unavojiona unaona ni mwanamke wa aina gani na mumeo atafaidi nini special kwako?
Mmhh mie najiona kwanza kabisa ni fighter.. hadi hapa nilipo ni kwa uwezo wa M/Mungu na juhudi zangu hadi leo naweza kushiriki Hot talk. Ni stori ndefu sitopenda kuizungumzia hapa.
Najiamini na siku zote sikati tamaa. Niko charming. Napenda umbea ila umbea wenye manufaa na kujua mastori ya town.
Mwanaume anachoweza kufaidi kutoka kwangu ni Uvumilivu.. niko very patient na nina weza kumvumilia mtu..Kingine ni upendo wangu kwake nikipenda nimependa na ninapenda kweli tena kutoka moyoni..
Kwa kufupisha ni hayo machache.
Mmmmmmmh! Nothing about your expertise in bed? Koh! koh! Im disapointed. Qn3. Unaongeleaje swala la wadada kuwa opportunist na wakaka kuwa kuwatake advantage wadada wanaowapenda kiukweli? Kuwaona cheap au maharage ya mbeya! Times like these safe zone kwa msichana ni ipi? Uchezaje hili zegembe ili usionekane unakopwa wala mchunaji?
Mmmmmmmh! Nothing about your expertise in bed? Koh! koh! Qn3. Unaongeleaje swala la wadada kuwa opportunist na wakaka kuwa kuwatake advantage wadada wanaowapenda kiukweli? Kuwaona cheap au maharage ya mbeya! Times like these safe zone kwa msichana ni ipi? Uchezaje hili zegembe ili usionekane unakopwa wala mchunaji?
waaow una sound kuwa ni really wife material najipa tick kweli uko mlengo wa kulia hahaha 4. Swala wanawake kuzaa kabla ya
ndoa kwa sababu zozote zile
unalizungumziaje?