Hot talk na Heaven on Earth live

Hot talk na Heaven on Earth live

sr maria teresaaaaaa umetishje! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! Hallelujaaaaaaaaaaaaah! Praise the lord! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, wengine wanaimbisha kwaya kabisaaa, kubwa la maadui najiandaa kusoma neno! Full maupakoooo! Hallelujaaaaaahhhh! Can i get a big amen?

aaaaaammeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeem!!!
 
ok tuliache hewaniiiiii
7. How do you handle issue ya
kuachana? Roho ina kuuma? Una
bembeleza? Au?

Kuachana kunauma vibaya wewe acha na hakuna mambo ya kusema kuna kuachana kwa njia nzuri au mbaya kuachana ni kuachana tu nilishalia kisa mapenzi, sema time heals the broken heart.. maisha yanaendelea baadae,..

kubembeleza unabembeleza unajaribu kuonyesha efforts zako kama utaweza kuyarudisha mambo kama zamani ukishindwa unaachana nayo maana mwisho wa siku l ife must go ON.
 
hawakubaliki kitandani au??
Hao ambao hawawakubali wanaume wa JF wana yao mambo...

kwangu nawaona they are smart dudes.., michango yao very productive.. ni msaada kimawazo. Nimejifunza mengi toka kwao tangu nijiunge JF kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi wapo ambao wanachosha mambo yao ila number ni chache ukilinganisha na wale wenye kujielewa.. Me I LOVE THEM.
.......Asante kwa kunipenda ( Nimeitika kwa niaba ya wanaume wote wa JF tunaojielewa)
 
SR MARIA TERESAAAAAA UMETISHJE! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! HALLELUJAAAAAAAAAAAAAH! PRAISE THE LORD! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, WENGINE WANAIMBISHA KWAYA KABISAAA, KUBWA LA MAADUI NAJIANDAA KUSOMA NENO! Full maupakoooo! HALLELUJAAAAAAHHHH! Can i get a big AMEN?

Hahaaaaaaaaaaa umenifanya nicheke kwa sauti.. AMEN
 
SR MARIA TERESAAAAAA UMETISHJE! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! HALLELUJAAAAAAAAAAAAAH! PRAISE THE LORD! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, WENGINE WANAIMBISHA KWAYA KABISAAA, KUBWA LA MAADUI NAJIANDAA KUSOMA NENO! Full maupakoooo! HALLELUJAAAAAAHHHH! Can i get a big AMEN?
............AMEEN!! Mamaa wa Upako
 
Usinitanie kabisa, ntaongea na TANESCO sasa ivi wafanye mambo yao

Ninachoipendea hii redio inamilikiwa na mtu mkubwa serikali so umeme haukatiki hovyo na hata ukikatika kuna generator
 
Back
Top Bottom