kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Nimelipenda jibu lako
braza..braza!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelipenda jibu lako
braza..braza!!
Nasubiri kipindi kiishe braza niondoke na mtangazaji
Nasubiri panoge
sr maria teresaaaaaa umetishje! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! Hallelujaaaaaaaaaaaaah! Praise the lord! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, wengine wanaimbisha kwaya kabisaaa, kubwa la maadui najiandaa kusoma neno! Full maupakoooo! Hallelujaaaaaahhhh! Can i get a big amen?
ok tuliache hewaniiiiii
7. How do you handle issue ya
kuachana? Roho ina kuuma? Una
bembeleza? Au?
haya endelea sasa..
mhojiwa ni moja kati ya wadada ninao wa admire humu!!
she know it!!
nshakusoma..
mi namsubiria mhojiwa, leo ni wangu!!! 🙂
.......Asante kwa kunipenda ( Nimeitika kwa niaba ya wanaume wote wa JF tunaojielewa)hawakubaliki kitandani au??
Hao ambao hawawakubali wanaume wa JF wana yao mambo...
kwangu nawaona they are smart dudes.., michango yao very productive.. ni msaada kimawazo. Nimejifunza mengi toka kwao tangu nijiunge JF kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi wapo ambao wanachosha mambo yao ila number ni chache ukilinganisha na wale wenye kujielewa.. Me I LOVE THEM.
Nasubiri kipindi kiishe braza niondoke na mtangazaji
SR MARIA TERESAAAAAA UMETISHJE! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! HALLELUJAAAAAAAAAAAAAH! PRAISE THE LORD! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, WENGINE WANAIMBISHA KWAYA KABISAAA, KUBWA LA MAADUI NAJIANDAA KUSOMA NENO! Full maupakoooo! HALLELUJAAAAAAHHHH! Can i get a big AMEN?
Kipindi ndio kwanzaaaa yani kama ni safari ya kwenda mwanza ndio tupo ubungo.Kwa hiyo laza kiti cha gari umsubirie mtangazaji atoke studio.....
Mmmh haya ngoja mi nlale aisee
Kipindi ndio kwanzaaaa yani kama ni safari ya kwenda mwanza ndio tupo ubungo.Kwa hiyo laza kiti cha gari umsubirie mtangazaji atoke studio.....
............AMEEN!! Mamaa wa UpakoSR MARIA TERESAAAAAA UMETISHJE! Weraaaaaaaaaaaaaaaaa! HALLELUJAAAAAAAAAAAAAH! PRAISE THE LORD! Leo democrats woteeee tupo mstari wa mbele kuitikia pambio, WENGINE WANAIMBISHA KWAYA KABISAAA, KUBWA LA MAADUI NAJIANDAA KUSOMA NENO! Full maupakoooo! HALLELUJAAAAAAHHHH! Can i get a big AMEN?
Tulia wewe, show inaendelea, najua hapa unampigia utafiti chapuo tu akupe lift..
Usinitanie kabisa, ntaongea na TANESCO sasa ivi wafanye mambo yao