Hot talk na Heaven on Earth live

Hot talk na Heaven on Earth live

alafu internet inaboa yaani ikijua ni hot talk lazima izingue,aaagah mumy
Miss neddy kakatikiwa internent kama hutajali mie nikuulize maswali? Mpaka atakaporudi hewani. SERIOUSLY! THE SHOW MUST GO ON!
 
Its Friday, its hot talk! Nawakaribisha
jukwaani mpate mavituuuuuuz,
mamboz ya ukweli kabisaaa.
Leo tunae HOE! Binti anaesifika kwa
mrengo wa kulia huyu! Leo tumebadili
upepo kidogo. Tumehama kidogo
mrengo wa kushoto tumehamia
mrengo wa kulia kutest zali. Pata
mambo.
Naomba niwashukur washiriki
waliopitia kiti hiki mpaka sasa ni @
Lara 1, angelita Tumboo na leo
tunae Sr. HOE. How better can it get?
Hahahaaaaaaaaaaaaa!
Hoe karibu kwenye bunsen burner.

kama vile sijaelewa?
 
Last edited by a moderator:
Qn 2. Wewe unavojiona unaona ni mwanamke wa aina gani na mumeo atafaidi nini special kwako?

Mmhh mie najiona kwanza kabisa ni fighter.. hadi hapa nilipo ni kwa uwezo wa M/Mungu na juhudi zangu hadi leo naweza kushiriki Hot talk. Ni stori ndefu sitopenda kuizungumzia hapa.

Najiamini na siku zote sikati tamaa. Niko charming. Shy girl Napenda umbea ila umbea wenye manufaa na kujua mastori ya town.

Mwanaume anachoweza kufaidi kutoka kwangu ni Uvumilivu.. niko very patient na nina weza kumvumilia mtu..Kingine ni upendo wangu kwake nikipenda nimependa na ninapenda kweli tena kutoka moyoni..

Kwa kufupisha ni hayo machache.
 
Mmhh mie najiona kwanza kabisa ni fighter.. hadi hapa nilipo ni kwa uwezo wa M/Mungu na juhudi zangu hadi leo naweza kushiriki Hot talk. Ni stori ndefu sitopenda kuizungumzia hapa.

Najiamini na siku zote sikati tamaa. Niko charming. Napenda umbea ila umbea wenye manufaa na kujua mastori ya town.

Mwanaume anachoweza kufaidi kutoka kwangu ni Uvumilivu.. niko very patient na nina weza kumvumilia mtu..Kingine ni upendo wangu kwake nikipenda nimependa na ninapenda kweli tena kutoka moyoni..

Kwa kufupisha ni hayo machache.

Mmmmmmmh! Nothing about your expertise in bed? Koh! koh! Im disapointed. Qn3. Unaongeleaje swala la wadada kuwa opportunist na wakaka kuwa kuwatake advantage wadada wanaowapenda kiukweli? Kuwaona cheap au maharage ya mbeya! Times like these safe zone kwa msichana ni ipi? Uchezaje hili zegembe ili usionekane unakopwa wala mchunaji?
 
Mmmmmmmh! Nothing about your expertise in bed? Koh! koh! Im disapointed. Qn3. Unaongeleaje swala la wadada kuwa opportunist na wakaka kuwa kuwatake advantage wadada wanaowapenda kiukweli? Kuwaona cheap au maharage ya mbeya! Times like these safe zone kwa msichana ni ipi? Uchezaje hili zegembe ili usionekane unakopwa wala mchunaji?

Mhmhhhhhhh, Mmmmmmmmh!
 
Mmmmmmmh! Nothing about your expertise in bed? Koh! koh! Qn3. Unaongeleaje swala la wadada kuwa opportunist na wakaka kuwa kuwatake advantage wadada wanaowapenda kiukweli? Kuwaona cheap au maharage ya mbeya! Times like these safe zone kwa msichana ni ipi? Uchezaje hili zegembe ili usionekane unakopwa wala mchunaji?

Haaaaaa maswali si yataulizwa on bed niulize hata baadae

Time has changed.. watu wanaangalia pesa maslahi..mengine baadae.. ila kwa upande wangu Character comes first mengine baadae.. ka ulikubali kuwa nae kisa ana kazi nzuri siku akifilisika si utamkimbia.. nadhani waona issue nyingi mtu anaolewa na mtu pesa ndefu siku mambo ndivyo sivyo hali inakua si hali

2, Kuna wanaume nao wabaya unakuta dada kapenda kafall kweli kweli ila ye ndio kwanza anatake advantage ya ule upendo.. mtu unavumilia hali aliyonayo,treating your
dreamboat like a dream, ye anakuona zoba..

Hakuna formulae ya kusema watu wafanye one two, three ila hata kama unampenda kwa dhati stop being too
needy and too desperate. You are making it too
obvious your happiness depends on him ko na yeye anachukulia advantage hapo
 
waaow una sound kuwa ni really wife material najipa tick kweli uko mlengo wa kulia character comes first una maana hata type ya kina yahaya utaweza kuwalea weye haha am kidding 4. Swala wanawake kuzaa kabla ya
ndoa kwa sababu zozote zile
unalizungumziaje?
 
waaow una sound kuwa ni really wife material najipa tick kweli uko mlengo wa kulia hahaha 4. Swala wanawake kuzaa kabla ya
ndoa kwa sababu zozote zile
unalizungumziaje?

Huyo yahaya character F hataki kufanya kazi maana kujishughulisha ni character moja wapo

Mmh hujui na mie mama kijacho halafu waniuliza hili swali.. LOL..

Hili nalo ni shida ila iwapo ikitokea mdada akabeba mimba bora azae kuliko kuitoa hiyo mimba.. nawapongeza wale ambao despite yoote ya wenye mimba kuwaruka futi mia.. wenye kuwasema vibaya wakaamua kuacha mimba zao leo wana watoto ambao wakiwaangalia they say YES DESPITE ALL THOSE i managed...

Tu play safe tu ikitokea tuwe responsible kwa matendo yetu sio kukimbilia kunyofoa mwisho tunanyofoa hadi vizazi
 
Qn.5 ni aina gani ya mfumo wa uchumi na utawala unaoupendelea?ujamaa au ubepari? Na kwa nini?

Qn. 6 what are your views on abortion?
 
hahaha tangu nianze kusikia unaitwa mama kijacho ni mwaka sasa hiyo mimba tuifanyie na birthday lol ujumbe wako uwafikie single moms wote pamoja na wadada ambao bado tupo tupo tuwe care
5.Wanaume wa JF unawachukuliaje?
Mbona hawakubaliki na kuheshimika
na wadada wa jf hadharani?
 
Back
Top Bottom