Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hahaha tangu nianze kusikia unaitwa mama kijacho ni mwaka sasa hiyo mimba tuifanyie na birthday lol ujumbe wako uwafikie single moms wote pamoja na wadada ambao bado tupo tupo tuwe care
5.Wanaume wa JF unawachukuliaje?
Mbona hawakubaliki na kuheshimika
na wadada wa jf hadharani?
agreed............
6.Nini kinapelekea uamue huyu
papuchi anapata huyu hapati? Vigezo
gani unatumia!
..........utadhania kakalia kitu chenye ncha kali.We nae kwa mikelele unaboaje??? Hujuagi kutulia???
Mambo buddy naona mtangazaji kaingia mitini..
mi ndio nafika sasa.
..........utadhania kakalia kitu chenye ncha kali.
Mmh hili swali sijui ni gumu ama sijaelewa...
Mie swala la ngono au kugawa papuchi nalichukilia very serious maana kuna kijana nilienda kumtembelea nikakuta keshaandaa kondom eti tufanye I was like what??? hadi leo sijui yuko wapi. Huwa naogopa sana aisee papuchi sio karanga kusema unampa kila mtu aonje mie mpenzi..................................................................................................
Nashindwa kuendelea kujibu naona kama sijaelewa we can skip this tuendelee na jingine

kiwatengu nipo bhana