Hot talk na Heaven on Earth live


aaaaaammeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeem!!!
 
ok tuliache hewaniiiiii
7. How do you handle issue ya
kuachana? Roho ina kuuma? Una
bembeleza? Au?

Kuachana kunauma vibaya wewe acha na hakuna mambo ya kusema kuna kuachana kwa njia nzuri au mbaya kuachana ni kuachana tu nilishalia kisa mapenzi, sema time heals the broken heart.. maisha yanaendelea baadae,..

kubembeleza unabembeleza unajaribu kuonyesha efforts zako kama utaweza kuyarudisha mambo kama zamani ukishindwa unaachana nayo maana mwisho wa siku l ife must go ON.
 
.......Asante kwa kunipenda ( Nimeitika kwa niaba ya wanaume wote wa JF tunaojielewa)
 
Nasubiri kipindi kiishe braza niondoke na mtangazaji

Kipindi ndio kwanzaaaa yani kama ni safari ya kwenda mwanza ndio tupo ubungo.Kwa hiyo laza kiti cha gari umsubirie mtangazaji atoke studio.....
 

Hahaaaaaaaaaaa umenifanya nicheke kwa sauti.. AMEN
 
Kipindi ndio kwanzaaaa yani kama ni safari ya kwenda mwanza ndio tupo ubungo.Kwa hiyo laza kiti cha gari umsubirie mtangazaji atoke studio.....

Usinitanie kabisa, ntaongea na TANESCO sasa ivi wafanye mambo yao
 
............AMEEN!! Mamaa wa Upako
 
Usinitanie kabisa, ntaongea na TANESCO sasa ivi wafanye mambo yao

Ninachoipendea hii redio inamilikiwa na mtu mkubwa serikali so umeme haukatiki hovyo na hata ukikatika kuna generator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…