Sio majaliwa mkuu ni kujiregeza tu. Unafikiri huyu angekuwa si mvivu wa mazoezi ya chini kama kukimbia kupanda ngazi,kupanda milima,unafikiri angekuwa hivyo?.I see. Please slow down. Mambo mengine ni majaaliwa ya muumba wajameni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuiga Obama?Rejea picha za Obama akivaa shati khasa jeupe anakunja mikono ingawa c mpaka juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio majaliwa mkuu ni kujiregeza tu. Unafikiri huyu angekuwa si mvivu wa mazoezi ya chini kama kukimbia kupanda ngazi,kupanda milima,unafikiri angekuwa hivyo?. Anaweza kuwa mrefu lakini mwili mkakamavu wenye uwiano. Unamkuta mtu kama huyo huyo huko kijijini kimejaa jaa miguu,kijitu kimekomaa hivi. Mwili wote una uwiano,urefu na mwili ulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Sorrymkuu unakandia sana. punguza asee kama utaweza maana mwisho wa siku hata wewe kuna vitu ambavyo wengine wanatamani wakubadilishe ila wanakuvumilia tu. sio fair kwa huyo kwake kabisaa
Haina mbaya mkuu. Pamoja brother
Af kavaa shat bayaaaa suruali mbayaaasMbona umetumia njia ndefu sana kutaka kutuma picha yako?
Eeh! Mlenda na pilau?? 😂😂Mmmh classic gani hiyo[emoji849] tbh hapo umevaa mlenda na pilau. Havijanoga kabisa
Kikubwa ni CONTENT ambazo nimeeandika Just Ready to get some knowledge about FASHION&STYLES.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
haha wewe jamaaa nia ilikua kuanzisha uzi au kuposti hizi picha zko ulizosifiwa na mwajuma wa hapo mtaani kwenu