Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Dunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine.
Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
 
Naona kama vile kuna kampeni ya kua watu kwenye nyapu maana na kuna kiongozi mmoja nae kasema watuletee double bundle ukinunua P2 upewe na kondom. Hao nao wanataka kuvunje vitanda kisa 1 million

MUNGU TUEPUSHE NA HII MITEGO, na wote tuseme "AMEN"
 
Ameen.
 
Dunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine.
Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?

Kuvunja kitanda kwa nyundo au??!!
 
Back
Top Bottom