Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

Duh hivyo vitanda vitakuwa vimetengenezwa kwa mninga siyo bure [emoji3][emoji3]
 
Wanapromote uzinz? Hapo unategemea ni Mke na mume ndio wavunje kitanda??
 
Dunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine.
Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
Ndiyo tabia zenu
 
Tutakuja na nyundo kwenye mabegi,tunapiga kazi ya kawaida Kisha tunatapunguza misumari kwenye chaga
 
Back
Top Bottom