MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ameen.Naona kama vile kuna kampeni ya kua watu kwenye nyapu maana na kuna kiongozi mmoja nae kasema watuletee double bundle ukinunua P2 upewe na kondom. Hao nao wanataka kuvunje vitanda kisa 1 million
MUNGU TUEPUSHE NA HII MITEGO, na wote tuseme "AMEN"
50k mkuu[emoji3]kwani nauli mpk uko mwanza Ni Bei gan mkuu?
Mkuu unataka kuingia na Grinder nini!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Je naruhusiwa kuingia na kitu chochote zaidi ya mwanamke?
Ni muhim kufika aisee[emoji4][emoji106]50k mkuu
Shetani ana nguvu sanaDunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine.
Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
Shetani ana nguvu sana
Dunia haikosi vituko,