Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

hawawezi kubomoa hawana ela ya kujenga reli wanatuletea story nyingi tu kiufupi serikali ya huyu jamaa haitafanikiwa kwani anavinyongo na watu na tambua mtu mwenye kinyongo huwa hafanikiwi hvyo kubomoa hawez ela ya reli anatoa wap
 
Haya wale wenye hotel Arusha zilizo jengwa kando kando ya barabara mjipange kisaikolojia hili kama ni kweli itabomolewa ni ku balance story... Mabilioner wa Arusha wenye hotel kando kando ya barabara jiandaeni
 
Hapo ndio anaweza akafa kabla mana hiyo nyumba ilivyo nzuri duh
 
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
 
Kweli magu kabana kwangu tu!
 
Uwekezaji wa nguvu imefanyika hapo,najiuliza hakuna njia nyingine ya kufanya kulinda ajira za Watz waajiriwa hapo ?maana kuna watu na familia zao watalia baada ya kuvunjwa kwake.
 
Dah aiseee, ni pazuri ila wana bei sana. Na wageni wengi huwa ni wazungu na wahindi.
 
Kingdom hotel
Kembys hotel
Gold crest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…