Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

ryans%252Bbay%252Bhotel5.jpg
 
Haya wale wenye hotel Arusha zilizo jengwa kando kando ya barabara mjipange kisaikolojia hili kama ni kweli itabomolewa ni ku balance story... Mabilioner wa Arusha wenye hotel kando kando ya barabara jiandaeni
bay-jpg.221296
 
Hapo ndio anaweza akafa kabla mana hiyo nyumba ilivyo nzuri duh
 
Jamani mimi nataka niende Mwanza next week. Hotel gani ni nzuri ya kufikia? Nice food, clean rooms, drinks na interaction ya yale mambo yetu pendwa! Kwangu mimi Usafi na Usalama ni priority than anything!

Bajeti yangu 60-80K.

NB: Siulizii Guest House za akina Geita, Visano, Shinyanga et al. Huko nilishalala vya kutosha miaka hiyo!
Kweli magu kabana kwangu tu!
 
Uwekezaji wa nguvu imefanyika hapo,najiuliza hakuna njia nyingine ya kufanya kulinda ajira za Watz waajiriwa hapo ?maana kuna watu na familia zao watalia baada ya kuvunjwa kwake.
 
Dah aiseee, ni pazuri ila wana bei sana. Na wageni wengi huwa ni wazungu na wahindi.
 
Jamani mimi nataka niende Mwanza next week. Hotel gani ni nzuri ya kufikia? Nice food, clean rooms, drinks na interaction ya yale mambo yetu pendwa! Kwangu mimi Usafi na Usalama ni priority than anything!

Bajeti yangu 60-80K.

NB: Siulizii Guest House za akina Geita, Visano, Shinyanga et al. Huko nilishalala vya kutosha miaka hiyo!
Kingdom hotel
Kembys hotel
Gold crest
 
Back
Top Bottom