Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

hahahaa yaani habari kamili umezikosa ulieleta uzi sie tuzipate kibiti??
 
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

Kama itabomolewa kupisha upanuzi wa reli basi kambi ya polisi pale railway nayo itabomolewa pia Mwanza Institute itabomolewa kwa maana Ryans Bay ipo mbali kidogo ukilinganisha na Nyumba za Polisi na Mwanza institute.

Labda kama itabomolewa kwa kujengwa kimakosa ziwani Hapo sawa kwa lakini sio kigezo cha Railway
 
Yaani Joseverest, pamoja na huwahi kwenye thread za watu huwaga huna taarifa kamili hata siku moja?
Sina maana hiyo mkuu, kuna nyingine nakuwa nazo, na nyingine kama hii sina halafu ukizingatia amesema ni tetesi.. Siku nikiwa nayo huwa natoa siku sina ndio kama hivi nasubiria mwenye taarifa kamili aje nayo..sijui umenielewa?
 
Reli iko mbaaaaaali kabisa na Ryans bay! Acha akili za Maboso wewe!
 
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
Umeona jamaa anavyotudanganya eeh! akili za Maboso hizi! Jiulize Kituo cha Polisi na Ryans bay nani yuko karibu na reli? JIbu Kituo Cha Polisi basi waanze na hicho!
 
hahahahah, sasa misosi shost si mpaka niagize! misosi ya pale bei iko juu utadhani unanunua sijui kitu gani tu! Pale huwa ninaenda kama "nina @offer" sio pesa yangu. hahahahahahahahahahah
wanaume wa karne hii wana shughuli
 
Nilipigiaga picha zangu za tukio flani hapo oooohh that's bad news
 
Nenda Greenland hotel,kingdom au hapo Ryans bay kabla hapajavunjwa
 
Jamani naombeni kujua vyeo vya humu JF mfano ili uweje uwe Jf expert member,verified user,gold member nakadhilika nakadhalika. Sorry nipo nje ya mada
 
more pics of this hotel. though am sure it is out of railway boundaries/reserve by more than 50meters. it won,t be demolished to pave way for railway construction.
 
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

Hiyo Hotel na institute zimejengwa kwenye eneo la stesheni yadi. Makaburi, kiwanda cha samaki n.k. wamejenga kwenye Hifadhi ya njia ya Reli.
 
more pics of this hotel. though am sure it is out of railway boundaries/reserve by more than 50meters. it won,t be demolished to pave way for railway construction.

Rail station yard not railway boundaries/reserve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…