Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Kingdom hotel
Kembys hotel
Gold crest
Nimelala gold crest Kama mara mbili. Siku hizi service zao choka mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingdom hotel
Kembys hotel
Gold crest
Kama hutojali kafikie nyegezi karibu na jembe beach kuna hotel inaitwa semanene ni ya maana kweli na pametulia alongside beach......wanazo room za 100,000....80,000 na 60,000Nimelala gold crest Kama mara mbili. Siku hizi service zao choka mbaya.
Hiyo plot zamani ilikua kichaka cha makenge n nyoka sehemu yenye ardhi ilikua ndogo sana mana eneo kubwa lilikua ziwaniWanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Yale ya upande wa juu au upande wa chiniIla kile kiwanda nao wamesogea mno relini, pia na yale makaburi ya wahindi nayo pia wanasema yatapitiwa
Numbisa unaishi mwz
Hela ya kubomoa anayo ,hawawezi kubomoa hawana ela ya kujenga reli wanatuletea story nyingi tu kiufupi serikali ya huyu jamaa haitafanikiwa kwani anavinyongo na watu na tambua mtu mwenye kinyongo huwa hafanikiwi hvyo kubomoa hawez ela ya reli anatoa wap
Kama kawaida first is firstNgoja mwenye habari kamili aje
Hahaha usijali mkuu, kawaidaKama kawaida first is first
Bei ya vyumba sh ngapiNgoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
Acha nirudi hom nifaudu ukaribu wkoNdio
Acha nirudi hom nifaudu ukaribu wko