Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Nimelala gold crest Kama mara mbili. Siku hizi service zao choka mbaya.
Kama hutojali kafikie nyegezi karibu na jembe beach kuna hotel inaitwa semanene ni ya maana kweli na pametulia alongside beach......wanazo room za 100,000....80,000 na 60,000

100,000 unapewa breakfast, lunch, evening coffee pamoja na dinner for free

80,000 unapata breakfast, lunch na evening coffee tu

60,000 ni breakfast tu

Lakini they offer a very good service...
 
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

Hiyo plot zamani ilikua kichaka cha makenge n nyoka sehemu yenye ardhi ilikua ndogo sana mana eneo kubwa lilikua ziwani
 
Aaaargh... Waivunje tu. Na ikibidi na mmiliki wamuue. Nimechoka kusikia habari za hovyo kila siku. Badala ya kusikia mema kiiiila siku huyu katumbuliwa, mara sukari bei juu, kule unga haukamatiki. Potelea kweusi!! !!
 
hawawezi kubomoa hawana ela ya kujenga reli wanatuletea story nyingi tu kiufupi serikali ya huyu jamaa haitafanikiwa kwani anavinyongo na watu na tambua mtu mwenye kinyongo huwa hafanikiwi hvyo kubomoa hawez ela ya reli anatoa wap
Hela ya kubomoa anayo ,
Anaweza kukosa hela ya kujenga.

Bomoa kwanza halafu kujenga baadae,hats baada ya miaka 20.lakini waisome namba kwanza.

Waache waendelee kupandikiza chuki kwenye akili za watu.
 
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
Bei ya vyumba sh ngapi
 
Wanabomoa mpaka nusu ya shule ya msingi ya nyamagana!
 
Back
Top Bottom